Nalipwa ila kazi sipewi

Hilo liko sawa subiri. Huenda wanasubiri uende training wameamua wakushikirie kwanza. Uko kwenye matazamio ya ajira

Halafu uliomba kujitolea hata bila malipo na wao wameamua wakulipe posho usiishi kinyonge unaona shida. Kuna wenzio wanatamani hizo fursa hawapati.
 
Vuta subira
 
"Ukienda FIELD kukaa bila kazi nayo ni kazi" Mwalimu wangu wa college.
Kijana,tulia mdogo wangu. SUBRA,SUBRA,SUBRA,,,,,,ACHA WENGE DOGO.
 
Watu wa TISS walikufanyia interview unaweza kifiriki hawa matapeli wanakutega kwa vitu common sana. Ndugu yangu alikuwa anaambiwa kila siku awahi saa 11 alfajiri feri, alikuwa anashinda hadi 12 haoni mtu, posho unatumiwa kila wiki 120,000. Alifanya hivyo miezi sita. Siku tu akapitiwa akapotea one year ndo anarudi anasema alikuwa kozi Zanzibar. Sahizi anakula tu maisha.

VUMILIA
 

shukrani mkuu.
 
Kuwa mvumilivu, hiyo miezi mitatu ikiisha ndio uanze kuwaza mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…