my sis KOKUTONA how do u take my choice?
Wahaya si unatujua mdogo wangu....Tunavupenda mijisifa na kujisifia kukuambatana na utekelezaji wa mijisifa yetu.
So utafaidi mdogo wangu....dhahabu utavaa, madera utavaa...mijipesa utapata napenzi ya ukweli pia utayapata.
Lakini jeee? Kahawa utaweza kutafuna? Rubisi utaiweza? Senene je? Michemsho ya samaki maharage toke, nyanya vitungu na samli kwa pamoja bila kukalangizwa? Kumbi kumbi je Kubwa kabisa katere..ro jeee?
Kuhusu heshima, tabia njema na uadilifu sina wasi wasi nawe.
WELCOME TO KAGERA
CC nitonye, Bishanga KakaKiiza, Kipipi Dark City na wahaya wotoote.
Tumepata wifi shemeji.
ccc Filipo, Kaizer ile mipango yenu ime fail.
Dada mtu mzima wewe
Kama umeuliza kwa mashaka vile!

naomba nialikwe kwenye kamati ya harusi baada ya biharusi kugombaniwa hatimae amepata jiko
Sema kweli shem.Ahsante shem nakuhaidi sitawaangusha coz i really love her
Hivi umeshuhudia talaka kutoka kwa zubedayo_mchuzi au unashangilia wifi tu.?Ha haa imekuwa ghafla mno.
wahaya mna mbwembwe, siwaweziKamati kuu kima cha chini ni milioni hamsini, utaweza?
Hivi umeshuhudia talaka kutoka kwa zubedayo_mchuzi au unashangilia wifi tu.?
wahaya mna mbwembwe, siwawezi
Nipangwe kamati ya Mapokezi mie nione mgeni mmoja baada ya mwingine siku hiyo ya harusi.Si alimruhusu mwenyewe afuate haja ya moyo wake? Ndo keshafuata haja ya moyo wake.
YNNAH maji yanajua mkondo wake
CC Kaizer Filipo Lily Flower