NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Asante sana mbumbumbu fc [emoji41]Unamvua, kwani wewe ndiye uliyemvisha?
Mashabiki wa Yanga wana uhayawani. Yote aliyofanya Feisal yanapaswa kufutwa kwa mechi tano za Bacca?
Pathetic!.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app