NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
Asante sana mbumbumbu fc [emoji41]Unamvua, kwani wewe ndiye uliyemvisha?
Mashabiki wa Yanga wana uhayawani. Yote aliyofanya Feisal yanapaswa kufutwa kwa mechi tano za Bacca?
Pathetic!.
Pale makosa yalikuwa kwa kipaYanga jana wamefungwa goli kwa beki kukaba mpira kwa macho...haswa Mwamnyeto
Yeye abaki na FEI TOTO maana utoto mwingi.Feisal Salum ni AMIJEI.
Anataka amtupie lawama Bacca huyoPale makosa yalikuwa kwa kipa
Hatuna shida nae sisi, mchukueni tu.FEI ANAENDA SIMBA.
Pale makosa yalikuwa kwa kipa
Upo sahihi kabisa mkuu.Kipa hata angebaki golini pasipo kutokea mpira, bado mfungaji angeruka free bila bughuza ya beki yeyote...
Sawa mkuu hujakoseawazanzibari sote tunajua mpira
Kijana kazi kazi anaupiga mwingi mno.Mimi sio mwananchi ila huyu kijana mla urojo namkubali.
Zamani tuliaminishwa kuwa vijana kutoka Zanzibar ni wala urojo tu hawana lolote.!
Hivi nikisema fei Ni ZANZIBAR YUDALIST kmombo hiki kitakuwa kinaeleweka au nirud English course kwa RAS SIMBAKweli kabisa Zanzibar finest ni Bacca
Feisal ni Yuda wa Zanzibar
Fei to simba boom yale mishuti yake yanawarudia vyuraHivi nikisema fei Ni ZANZIBAR YUDALIST kmombo hiki kitakuwa kinaeleweka au nirud English course kwa RAS SIMBA
Endeleeni kujipumbaza akili tu huyo dogo kashuka kiwangoFei to simba boom yale mishuti yake yanawarudia vyura