mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Kapacheki ukiona ni centre nzuri ichukue itakusaidia.Ngoja nikapacheki nikirudi kule sait
Mkuu MI Mwenyewe fundi nzuri tu wa cuttingKapacheki ukiona ni centre nzuri ichukue itakusaidia.
Ni biashara nzuri ila uwe serious sana kwenye management.
Staili yake ni Kama ilivyo kwenye biashara ya bodaboda yaani ukiwa mpole hesabu hawaleti.
Dawa yao unakuwa kauzu kwenye hesabu yako.
Basi kumbe hapo kazi itakuwa rahisi Kama ww mwenyewe unaweza hyo kazi.Mkuu MI Mwenyewe fundi nzuri tu wa cutting
Hyo ndio Elimu ya TZ unasoma University ukimaliza unaanza kuangaika kama vile huna ata f4. Ukitaka mkopo unaambiwa upeleke HATI ya nyumba au kiwanja ila ukitka ya Harka wanayojidai kuwa haina masharti unaambiwa upeleke BARUA YA MWAJIRI sasa sijui kama unatoka familia zetu utapataje MTAJI hapoHapo mkuu ntakudanganya nkisema tumia elimu yako, ila Kama unasomea dar waweza langua vitu vya urembo ukaingia navyo huko uendako tayar kwa ujasiria mali