Namaliza mwaka huu mwezi bodiiii ya mikopoooo...

Namaliza mwaka huu mwezi bodiiii ya mikopoooo...

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Bodi ya mikopo ya vyuo vikuu sio siri mnasumbua,najua ndio nlikua nnapungufu bt nimeyalekebisha ila wapi bdo mnanibania 2,kama mnanipa bure vile!hyo hela ntailipa,kwa bahati nzuri leo ni mara ya pili nmemkuta bro anapitipitia Jamii forums,najua utasoma hapa bro, naomb unisaidie nipate mkopo wngu nahangaika sana uku kitaa,nlikuja ofcn kwnu leo nlikua na matatizo kwnye matokeo yngu bt nsha clear ni mwezi wa 2 huu,pls wana jf.kama kuna m2 anauwezo wakunisaidia hapa anisaidie pia, hali ni mbaya uku nshapewa notice af hapa dar npo mwenyewe sina ndugu,namba yangu ni 0758 144803,hope mmenielewa na mtanisaidia..1 love.
 
pole sana aisee.
ngoja waungwana waje watakupa msaada.
 
Naitaji msaada wenu wana jf tafadhari.
 
Back
Top Bottom