Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

Wizara ya Afya ya Kenya imeripoti visa 25 vya #COVID19 vya madereva wa magari ya mizigo waliopatikana katika mpaka wa Namanga

23 kati yao ni madereva wa Tanzania, 1 anatokea Rwanda na mwingine Uganda. Majibu hayo yalitoka katika sampuli 1516 zilizopimwa

Wizara ya Afya imesema wamewazuia watu hao kuingi nchini Kenya kwa kujali usalama wa afya ya raia wao

====

Twenty-five truck drivers from Tanzania who tested positive for Covid-19 at the Namanga border point have been denied entry into Kenya, the Health Ministry has said.

CAS Rashid Aman said 23 of them are Tanzanians, one Rwandan and one Ugandan.

This was out of the 1,516 samples tested.

Speaking during his daily brief on the coronavirus on Wednesday, Aman said they are trying to protect Kenyans and that is why they were denied entry.

"Tanzania is a member of EAC, we work together and our role is protecting our people. We will continue to protect Kenyans," he said.

"We will continue testing people getting into the country. They are also planning to have testing on their border points. We will also trace the truck drivers from their point of origin."

Aman said a mobile testing lab has been dispatched to the Namanga border.

Acting Director-General Public Health Dr Patrick Amoth said the testing of truck drivers has commenced specifically pointing out those at the Namanga border.

"This leaves out those who sneak into Kenya through panya routes or porous borders. We, therefore, ask Kenyans to report any case to the authorities," he said.
 
Ndugu zetu na mlivyo wakaidi mumeamua kuogelea kwenye hiki kitu....
Hao wote 23 wamerudishwa kwao huko wakapambane na hali yao, aidha wajifukize kama walivyoshauriwa au watajua wenyewe....halafu Watz kwenye mtandao wabishi yaani.
=========================

Namanga in Kajiado County has been put on the list of high-risk zones after 25 truck drivers in Namanga tested positive for coronavirus

According to Health CAS Rashid Aman, 23 of them are Tanzanians, 1 is Ugandan and 1 is a Rwandese national.

“We have now classified Namanga as high risk based on Covid-19 positive cases detected at border crossing points,” he said adding that those who tested positive have been referred back to Tanzania.

Namanga borders Kenya and Tanzania.

On the Kenyan side, the town lies in Kajiado County while in Tanzania it lies in Longido District.

“Yesterday (Tuesday), we informed you about a team that went to Kajiado to ascertain the measures we needed to put in place to curtail cross border transmission of the disease. Arising from that visit, I want to report that the mobile testing lab that will be deployed at Namanga border post shall be ready within a week,” Dr. Aman said.

He noted the mobile testing lab will be used to run Covid-19 tests for truck drivers and Kenyans with the facility seen as key for surveillance and monitoring of the virus within member states of the East Africa Community (EAC).
Namanga put on high-risk list after 25 truck drivers test positive for Covid-19 - Citizentv.co.ke
 
Ndugu zetu na mlivyo wakaidi mumeamua kuogelea kwenye hiki kitu....
Hao wote 23 wamerudishwa kwao huko wakapambane na hali yao, aidha wajifukize kama walivyoshauriwa au watajua wenyewe...
budaa, tumianga kiswahili madhee

Sent using kidore
 
Yafaa wizara ya afya iweke maabara za kutembea kwenye kila mpaka. Wawapime madereva kabla hawajavuka boda.

Hii kutegemea kupimwa kwa majirani ni shida.. huwezi jua wana agenda gani, na huu uhaba wa ajira na njaa za lockdown ni kutafuta justification ya kuwapa madereva wao nafasi ya kuendesha gari za wabongo kwenye nchi zao.
 
Niliandika siku kadhaa kuwa mbinu sahihi ni test, test, test test na anayepatikana unam-isolate kumpatia tiba ya dalili alizonazo; lakini waziri akasema tuna test wale tu wenye dalili au waliokuwa karibu na wenye dalili!

Haya sasa tunaadhirika mpakani na madreva wanarundikana na kuambukizana! Je wanaporudishwa Tanzania, tunachukua tahadhari gani maana sisi vipimo vyetu vinaonyesha hata papai lina corona!
 
WHO walianza kutoa alert ya kutokupewa ushirikiano wa kutosha

Zambia wamefunga mpaka kwa ajili ya madereva malori 18

Kenya nao 23 sijui watachukua hatua gani

Wazee wa vyama ni mwendo wa kuchekana na kuzomeana kuhusu nani yupo sahihi na nani kashindwa.. national interest zitasubiri baadae

We are totally lost
 
Back
Top Bottom