Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

Haungeweza kujibu

Tokea pande za Ngamiani nimepata habari mchezaji gwiji wa siku za nyuma wa timu ya taifa ba coastal union huko ameaga dunia.

Hayupo anayetaka wish awe kapitiwa na ka upepo.

Jamani kule Ngamiani na Majani Mapana tujuzane. Bwana Kampira (rip) hakuwa cha mtoto hawezi kutokomea kimya kimya.
 

this is very bad...so Wtz ndo tumekuwa ma career wa hili gonjwa...but the good think from now on ward..tutakuwa tunapata takwimu kutoka kwa nchi jirani maanake hapa kwetu wamekuwa wakaidi kusema ukweli..cjui labda mamlaka zipinge na hili pia
 
Enyi watu wenye akili ndogo eleweni kuwa Covid 19 ni janga lisilo na dawa kwa sasa,tahadhari ndio kitu cha msingi.
Hakuna Serikali au baunsa unàyemjua atakayeizuia Covid kabla ya kupatikana dawa,chanjo au pengine mwili wa mwanadamu kuweka hali sugu dhidi ya hawa virusi.
Yani mtu na akili yako unailaumu serikali utafikiri ndio imeleta Covid.
Jiulize wewe binafsi utafanya nini cha ziada tofauti na maelekezo ya kufunga sehemu za mkusanyiko,kunawa,kujitakasa au kuvaa barakoa kama ukipewa nafasi katika nchi za kusini mwa Sahara.
Watu wajifungie wafe njaa au wapiganie maisha yao kwa mbinu yoyote itokeayo? Atakae bakia abaki na atakae ondoka ni mapenzi yake Mungu.
Sali,fanya kazi natumia na mbinu zako zote Covid isikuue..
 
Hao waliotest positive wamelazwa wapi? If they are positive and are stil healthy and kicking we unapata tafsiri gani? Hata huko Kenya I am sure wakitest watu barabarani watajiona watawakuta wengi tu wako positive bila kuwa na dalili yeyote
Kenya wanapima watu 35,000 kwa siku, sijui kama unajua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ukweli utajulikana badaye. Pengine hizo test zinaona kila mtu akiwa positive. Ama asilimia 80% ni positive ilhali sio kweli. Who knows man. Meanwhile watch a good video here

DAR ES SALAAM IKO MIONGONI MWA MAJIJI HAYA YENYE MVUTO AFRICA

 
Kenya ni waongo , Tanzania hakuna corona
 
Kazi kweli kweli
 
Leo nilimsikiliza Dr Slaa akieleza Corona ilivyovumishwa kuliko inavyostahili
Alitoa mfano wa Sweden kwa waliopima positive 100, 98 walipona hata bila kwenda hospitalini?
Hii rate ni sawa na ya mafua
Huku kwetu hata tukiinua hiyo rate na kufanya ktk waliopimwa positive 100 watano tu ndio wanahitaji huduma ya hospitali, 95 wanapona wenyewe
Hii fact ndio inamfanya Mhe. Rais asipanic na kuanza kuiga kila kilichowashinda wazungu wanaoteketea hata baada ya lockdown
Kule South kwa mfano Lockdown ilisababisha foleni ya KM 3 kwa ajili ya sambusa mbili tu ambayo hata ukipata haishibishi
Hawa CHADEMA wanawatakia mabaya Watanzania wafungiwe ndani halafu wafe kwa njaa
Watanzania walio wengi more than 85% wanategemea kwenda kuhemea kwenye biashara ndogo ndogo au kibarua ili wale mlo duni wa mchana na usiku au usiku tu. Leo ukiwafungia hao 85% wasiende kazini au kuhemea kwenye biashara serikali itawalisha sambusa 2 kwa misururu ya foleni km 3 halafu itakuwa imekwepa nini hapo, lockdown halafu kugawa sambusa 2 unaunda foleni ya KM 3 kama South Afica
 
Hizo story za mitandaoni tu

Nchi ipo salama
Hujitambui really yaani tuko shidani unapretend everything is okay wewe ni wale watu hata mkiishi njaa ni sawa tu kama unamahali pakujiifadhi acha kutupotosha 23 wote wakutwe na huo ugonjwa nakila mahali wanatangaza halafu everthing is okey.
 
Shida ni hii fuateni taratibu naweni mikono vaeni barakoa .
Basiii hamjaambiwa mfunge makazii.
 
habari za uchochez hizi
 
Kenya wanapima watu 35,000 kwa siku, sijui kama unajua!

Sent using Jamii Forums mobile app
wameanzia mtaa gani kupima? maana ukipima suspects tu ni ujinga kaka.
Kuna watu kibao kitaa hawana dalili yeyote na hawawezi kuwapata
Hizo ni mbwembwe tu kamanda!
Nakuhakikishia Corona is much smarter than whatever they are purporting to do,
Very proud of my President JPM
He is a genius leader. kawaacha wenzake waendelee kutwanga maji kwenye kinu.
Mwisho wa siku hao wote watarudi kufuata alichokifanya Magu - na wameshaanza.
 
Kazi kweli kweli

Beware of misukule. Hao ni taabu zaidi. Pia wako busy ku trace others kuwafungulia case kama wangekuwa na uwezo huo.

Hawajali hata kama nchi yote na wao wangeangamia ila akabakia mtu mmoja au wilaya moja.

Wanatia kinyaa!
 
Rafiki acha mihemko

Nchi gani duniani imeweza ku eliminate corona?

Nchi gani itaweza kuondoa corona??

Hao majirani kila siku wana visa vipya, vinatokea wapi!

Ipo tofauti ya kujiandaa kuishi na Corona kama mshikaji na kuendelea kuishi wakati Corona ikiwa haipewi nafasi ya kuwepo.

Ndiyo maana kote waliko staarabika kila lilitokea tukio la kutishia usalama wao wanachukua hatua stahiki:

China lockdown: Why is China in lockdown again? New coronavirus outbreak discovered

Msikaririshwe corona hawezi kuwa mshikaji wa kuishi naye tu huyu anauwa ba kuambukiza wengine kwa kasi.
 

1. Nao wanaanza kuficha updates za waathirika wa Corona?
2. Nao wamekimbia ikulu zao?
3. Nao wameanza maombezi, mitishamba au kufuka nyungu?
4. Nao wameanza kukimbia simu za marais wenzao?
5. Nao badala ya kupima watu wameanza kupima mbuzi, kondoo, mapapai, oil nk?
6. Nao wamebatiza ugonjwa kuwa changamoto za kupumua?
7. Nao wamefungiwa mipaka na najirani zao?
8. Nao wanashutumiwa na marafiki zao kuwa hawashauriki?
9. Nk nk

Truly you should be very proud of your president JPM he is a genius.
 
Hawa madereva wa tz inaonesha wako kwenye mazingira hatarishi sana kikazi.

Hii pia inawafanya wengi wao kufa kwa maradhi ambukizi.

Labda elimu zaidi inahitajika kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa madereva wa tz inaonesha wako kwenye mazingira hatarishi sana kikazi.

Hii pia inawafanya wengi wao kufa kwa maradhi ambukizi.

Labda elimu zaidi inahitajika kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Inawezekana huku Dar hali imechafuka vilivyo kama ile alert ya beberu inavyosema.

Dereva wa lori kwenye cabin wapo watu wawili tu. Sembuse wa basi la abiria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…