Namba 1 amejiaibisha yeye na chama chake

Namba 1 amejiaibisha yeye na chama chake

Wewe nawe ni kichwa Nazi kweli!
Mbowe huwezi kumuita namba 1.
Namba 1 huwa ni Rais wa JMT.
Elimu ya shule za kata ni shida kweli kweli!
Naona kichwa chako kimejaa kamasi badala ya akili.

Hapa ameongelewa namba 1 wa chama kikuu cha upinzani nchini. Hakuna sehemu niliyoandika namba 1 wa nchi.

Hata timu ya mpira ina namba 1 wake ambae ni golikipa.
 
Na kweli benefit kwa upande wake na genge lake (wewe ukiwa mmoja wapo) mmepata.

Kulipwa viela vya kula na kurushiwa bando kwenye PM zenu na wakwepa kodi wa bandarini wakishirikiana na wapiga madili mbali mbali pale bandarini halikuwa swala dogo.

Ila bahati nzuri mmiliki wa nchi tulie nae ni makini, mjanja, mwenye upeo na anaeelewa mambo mengi zaidi ya huyo wakili kanjanja na wachumia tumbo wenzake.

Imagine kama kiongozi wa nchi angekubali kushikiwa akili na huyo kanjanja, hali ingekuaje pale bandarini.

Mkataba uko pale pale, asiependa kusikia au kuona hivyo ahamie Malawi.
Ni ajabu sana kwamba unaweza kuwa na watu watu wazima kabisa, wenye fikra kama yako. kwamba kuna watu wamelipwa. kama kina mwabukusi walilipwa, ni wao sio sisi wengine, na hata kama walilipwa basi huyo aliyewalipa ametusaidia sana, na zaidi ya yote, hana tofauti na waliolipwa na DP world, wale waliopelekwa dubai na kupata mashangingi, wapo na ushahidi upo.

naomba nikusaidie kukufafanulia, bila mwabukusi na TEKU, DP world walikuwa wamechukua bandari na serikali ilikuwa imeandaa mswada wa kubambika baada ya kuona hawakufuata taratibu na walienda kinyume na sheria, na hayo yote yalionekana baada ya kesi kufunguliwa kule mbeya. mambo yalipopamba, hata ule mswada wameamua kuudrop, hivyo DP world hana pa kuingilia tena na kama alitoa pesa zimeshaliwa hizo. bila hao, mswada ungeenda bungeni, ungepitishwa na wabunge mwazwazwa na bandari zetu zote angekabidhiwa mwarabu. haya ndiyo mafanikio niliyosema wameyaleta. and this is all they wanted.
 
RPJVA3VYDJOPVJVSCBGFXCU7HQ.jpg

MWAMBA

NO HATE NO FEAR!
 
Mbona tulishasema zamani kwamba hakuna liwalo kwasababu Watanzania wengi ni WAOGA.
Unazungumzia uoga upi?
Wa mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani kumjibu wakili kanjanja au ule wa wakili kanjanja kuwashambulia viongozi wa upinzani?

Hebu fafanua vizuri, maana ni kama vile haujausoma na kuuelewa uzi vizuri.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Kwanza naomba niseme kuwa ninaufahamu, na kuuelewa vizuri ule msemo unaosema kuwa nyani akitaka kufa "basi miti yote atayojaribu kuishika hutereza". Hivyo nafahamu fika kwamba ule muda wa mwenyekiti ambae pia ni namba 1 wa chama kufa kisiasa upo, lkn sikutegemea kama muda huo ndio umeshafikia sasa hivi mpaka nilipoanza kusikia, na kuona mwenyekiti huyo wa chama kikuu cha upinzani, aliewahi kujijengea heshima kubwa katika siasa za Tanzania akijiaibisha kwa kujibishana na wakili fulani kanjanja anaetokea katika mkoa wa Mbeya, huku akishindwa kuelewa na kutambua kwamba kwa cheo chake, hadhi yake, umri wake na hata ukubwa wa chama chake hakutakiwa kamwe kupoteza muda wake, energy yake, sauti yake na mimbari ile kumjibu huyo wakili kanjanja na mlevi wa gongo.

Ni nani mwenye akili timamu asiefahamu kuwa wakili kanjanja yule alitumwa na yule Dr aliekuwa anashindia mihogo akarushe jiwe gizani, ili aone au asikie nani atakaemjibu, na yeye Dr mihogo apate pa kutokea na pengine kurudi tena kutrend katika midomo ya watu?

Suala la bandari limekufa kibudu, maandamano wanayopanga bila baraka ya chama chochote cha upinzani kuwa nyuma yao pia yameshakufa kibudu kabla hata ya kuanza, hivyo njia ya mwisho kwa wao kurudi tena kutrend ni hiyo ya kuattack vyama na viongozi wa vyama ili kujipatia uchochoro wa kutokea katika magazeti, mitandao na vyombo mbali mbali vya habari.

Sipingi yule kanjanja kujibiwa, ila napinga mtu alietumika kumjibu. Kiongozi mkuu wa chama kikuu kupoteza muda wake kumjibu wakili kanjanja na mlevi ni kujiaibisha yeye na chama chake. Ndiomaana hata makamu wa chama hajaonesha kulipa uzito sana swala hilo, maana anaufahamu mtego uliotegwa na Dr mihogo hivyo kawapuuza. Kitendo cha kumjibu yule kanjanja ni sawa na mtu mzima kumpiga mtoto wa miaka mitatu makonzi eti kisa alikuzomea, na wakati ungetumia hata njia ya mkato kwa kumpa kazi hiyo mtoto wako wa miaka minne amshikishe adabu.

Kwa kawaida yule kanjanja na aliemtuma walitakiwa wajibiwe angalau na katibu mkuu, au mwenyekiti wa chama wa kanda au mkoa wake, au chawa wengine humu JF.

Namalizia kwa kusema kuwa kile ni kinyago mlichokichonga wenyewe na kutaka kukitumia kisiasa katika swala la bandari, na mambo mengine ya kisiasa, hivyo pamoja na kwamba kinyago hicho kinaonesha kuasi kambi, lkn bado hakina sifa wala levo ya kujibiwa na mwenyekiti na namba 1 wa chama.
Hakuna mtu alikwenda shule anatokea Mkoa wa Mbeya akawa Kanjanja,acha chuki za kishamba!
MWABUKUSI kawaambia ukweli Wapinzani wanapenda vyeo,hapo wengi wanawaza Ubunge tu na wanadhani kuwa wakimfurahisha Samia ndiyo watapata Ubunge,Katiba Mpya na Tume mpya ya Uchaguzi.Huo ni upumbavu wa kiwango cha SGR!
Ata Kenya akina Odinga na Wananchi waliweka pressure kwa serikali na ndiyo maana katiba ilipatikana.Katiba haiwezi kupatikana kwa siasa za kujipendekeza za Mbowe na Chawa wake.
Yaani tofauti zake yeye na Dr Slaa ndiyo anazileta katikati ya harakati za kuifurusha CCM;yaani CCM kwa sasa ipo kwenye moto ndiyo ilipaswa yeye Mbowe kama Mwanaume ashirikiane na akina Mwabukusi kuinyoosha CCM!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
amefanya kwa upande wake, hata akiishia tu hapo lakini kuna benefits tumeshazipata kama nchi kutokana na uanaharakati wake. ameiokoa nchi pakubwa sana, tunamshukuru na Mungu ambariki kwa hilo. si unaona hadi wametangaza tender bandari ya bagamoyo? na ule mswada wa kijinga umetupwa kwenye kapu la takataka. sio mafanikio hayo?
Achana na huyo Nyumbu,huyo Mbowe ambaye siyo Kanjanja mbona hakupeleka kesi Mahakamani kama Mwabukusi alivyofanya.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Unazungumzia uoga upi?
Wa mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani kumjibu wakili kanjanja au ule wa wakili kanjanja kuwashambulia viongozi wa upinzani?

Hebu fafanua vizuri, maana ni kama vile haujausoma na kuuelewa uzi vizuri.
Nilikuwa najadili hii:
"Suala la bandari limekufa kibudu, maandamano wanayopanga bila baraka ya chama chochote cha upinzani kuwa nyuma yao pia yameshakufa kibudu kabla hata ya kuanza, hivyo njia ya mwisho kwa wao kurudi tena kutrend ni hiyo ya kuattack vyama na viongozi wa vyama ili kujipatia uchochoro wa kutokea katika magazeti, mitandao na vyombo mbali mbali vya habari."
 
Hakuna mtu alikwenda shule anatokea Mkoa wa Mbeya akawa Kanjanja,acha chuki za kishamba!
MWABUKUSI kawaambia ukweli Wapinzani wanapenda vyeo,hapo wengi wanawaza Ubunge tu na wanadhani kuwa wakimfurahisha Samia ndiyo watapata Ubunge,Katiba Mpya na Tume mpya ya Uchaguzi.Huo ni upumbavu wa kiwango cha SGR!
Ata Kenya akina Odinga na Wananchi waliweka pressure kwa serikali na ndiyo maana katiba ilipatikana.Katiba haiwezi kupatikana kwa siasa za kujipendekeza za Mbowe na Chawa wake.
Yaani tofauti zake yeye na Dr Slaa ndiyo anazileta katikati ya harakati za kuifurusha CCM;yaani CCM kwa sasa ipo kwenye moto ndiyo ilipaswa yeye Mbowe kama Mwanaume ashirikiane na akina Mwabukusi kuinyoosha CCM!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Tatizo Mwabukusi anatumiwa na watu wenye njaa kama kina dr Slaa ndomaana anaonekana kichekesho na asieaminika.
 
Nilikuwa najadili hii:
"Suala la bandari limekufa kibudu, maandamano wanayopanga bila baraka ya chama chochote cha upinzani kuwa nyuma yao pia yameshakufa kibudu kabla hata ya kuanza, hivyo njia ya mwisho kwa wao kurudi tena kutrend ni hiyo ya kuattack vyama na viongozi wa vyama ili kujipatia uchochoro wa kutokea katika magazeti, mitandao na vyombo mbali mbali vya habari."
Ok mkuu.
 
Heading na content sijaelewa hata mimi kwa kweli
Ni nyie wawili tu ndo hamjaelewa, ila wengine wote wameelewa na ku comment kwa jinsi walivyokuwa.

Inahitaji akili iliyotulia kuelewa vizuri kilichoandikwa, ila kama mtu utakuja kusoma na mawazo yako mfukoni kamwe hauwezi kuipata point yangu.
 
Sisi ndio mambumbumbu wa darasa lako sasa enzi upo shule unasoma.
 
Wewe hujaelewa shida ilipoanzia, shida sio ushirika wa chama cha siasa bali shida ilianza pale walipopanga bajeti bila kumshirikisha Mwamba.
Unalipwa Kwa kuandika ujinga?
 
Back
Top Bottom