Huyo Karume hata aibu tu hana? Baba, kaka na yeye bado anautaka? Si amuandae hata mwanae tu walau.
CCM hakuna kiongozi anayestahili kugombea urais Zanzibar zaidi ya Ali Karume.
We jamaa balaa si kwa kwa mfano huo! Kama Kuna mtu hajaelewa huyo hataelewa kamwe.Mbona wengine Babu, Mtoto na Mjukuu wote wachoma Mkaa?
ana papara na poor reasoningProf. Mbarawa i wish angekuwa Rais wa Zanzibar, ni mtu makini, msikivu na mchapakazi sanaaa, mtu wa maendeleo kabisa, Mungu amsaidie Prof. Mbarawa.
Prof. Mbarawa i wish angekuwa Rais wa Zanzibar, ni mtu makini, msikivu na mchapakazi sanaaa, mtu wa maendeleo kabisa, Mungu amsaidie Prof. Mbarawa.
Mama yetu, Samia suluhu hassani tuakutakia kila la heri October 2020 huko Zanzibar.Zoezi la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao limeanza hii leo.
Habari kutoka Zanzibar zinaeleza kuwa tayari Mbwana Juma Bakari na Ali Abeid Karume wamefungua dimba la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM.
Zoezi hilo litakamilika Juni 30, 2020 ambapo kwa upande wa Bara fomu zinatolewa katika ofisi za CCM Makao Makuu, Dodoma na kwa upande wa Zanzibar fomu hizo zinatolewa katika ofisi kuu za CCM Kisiwandui.
Chama cha Mapinduzi kilitangaza rasmi utaratibu wa kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar na wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia leo juni 15 na mwisho wa kurejesha fomu hizo ni Juni 30, 2020 saa 10:00 jioni.
Wanasema ni msukuma eti......watu bhana!
Huyo ndio walaaa, atachukua fomu atarudisha ana haki hiyo, ila wajumbe wa CCM ni watu makini sana ktk kuchagua Rais, subiri uone
Karume ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kama Mzanzibar yeyote yule na kama anazo sifa stahiki kwanini aache kujaza fomu?
Huyo muoga sana. N mtu wa ndio mzee, viongozi wa aina hiyo hawafaiProf. Mbarawa i wish angekuwa Rais wa Zanzibar, ni mtu makini, msikivu na mchapakazi sanaaa, mtu wa maendeleo kabisa, Mungu amsaidie Prof. Mbarawa.
Tz bara vip hakuna watia nia upande wa ccmZoezi la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao limeanza hii leo.
Habari kutoka Zanzibar zinaeleza kuwa tayari Mbwana Juma Bakari na Ali Abeid Karume wamefungua dimba la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM.
Zoezi hilo litakamilika Juni 30, 2020 ambapo kwa upande wa Bara fomu zinatolewa katika ofisi za CCM Makao Makuu, Dodoma na kwa upande wa Zanzibar fomu hizo zinatolewa katika ofisi kuu za CCM Kisiwandui.
Chama cha Mapinduzi kilitangaza rasmi utaratibu wa kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar na wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia leo juni 15 na mwisho wa kurejesha fomu hizo ni Juni 30, 2020 saa 10:00 jioni.
Hapana Mkuu,hata hao wengine akina Mwinyi na Mbarawa nao pia hawajaniambia, nimejaribu tu kuwataja watu ambao kwa mtazamo wangu naona wana ushawishi mkubwa Zanzibar, hata hivyo Ni suala la muda tu Mkuu ambapo yaliyojificha yatafichuliwa.samia amekuambia atagombea mkuu?
Asante Mkuu kwa ufafanuzi huu! Nampongeza na yeye pia kwa kujua mapema kuwa atakuwa tena mgombea mwenza mwaka huu na hatimaye kuwa makamu wa Raisi tena ili aendelee kuwa namba mbili kihirakia kwenye uongozi wa nchi. Japokuwa Raisi wa sasa wa Zanzibar alishakuwa makamu wa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano, kumbe alikubali kushuka chini kimadaraka?Samia alishaweka wazi hatagombea maana kwa ngazi aliyekuwa nayo ni namba mbili ,hawezi kwenda kugombea nafasi ya namba 3 !!nimenukuu maneno yake
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
AKICHAGULIWA MMOJAWAO NAKUNY MPAKA PEMBA FRM DARZoezi la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao limeanza hii leo.
Habari kutoka Zanzibar zinaeleza kuwa tayari Mbwana Juma Bakari na Ali Abeid Karume wamefungua dimba la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM.
View attachment 1479736
View attachment 1479738
Zoezi hilo litakamilika Juni 30, 2020 ambapo kwa upande wa Bara fomu zinatolewa katika ofisi za CCM Makao Makuu, Dodoma na kwa upande wa Zanzibar fomu hizo zinatolewa katika ofisi kuu za CCM Kisiwandui.
Chama cha Mapinduzi kilitangaza rasmi utaratibu wa kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar na wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia leo juni 15 na mwisho wa kurejesha fomu hizo ni Juni 30, 2020 saa 10:00 jioni.
poleyenuuu kasafishenii yalemajengoiiya..... Hatarangii mmeshindwaCCM hakuna kiongozi anayestahili kugombea urais Zanzibar zaidi ya Ali Karume.
HAWAFAIIIII !!!!°Mbona wengine Babu, Mtoto na Mjukuu wote wachoma Mkaa?
Mambo mengine ni kutumia common sense tu.ulichoandika kina maana gani sasa- au unamnyang'anya haki yake ya kupigiwa na kupiga kura?