Zanzibar 2020 Namba 1 na Namba 2: Mbwana Juma Bakari na Ali Abeid Karume wamefungua dimba la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM

CCM hakuna kiongozi anayestahili kugombea urais Zanzibar zaidi ya Ali Karume.

Huyo ndio walaaa, atachukua fomu atarudisha ana haki hiyo, ila wajumbe wa CCM ni watu makini sana ktk kuchagua Rais, subiri uone
 
Hana kosa hata moja la kuchukua fomu. Sisi tuna vigezo vingine kabisa vya kumkataa mtu na siyo familia au madaraka waliyoshika watu wa familia yake. Najua watu wengi ndo mkumbo wa mawazo tulionao lakini hebu tuwaze kukubwa. Kama ana uwezo acha agombee maana yeye Ni yeye as an individual na Ana haki zake personally. Wewe siyo baba yako au kaka yako! Wewe Ni wewe. Therefore let's think big.
 
Mbarawa hafai, anatakiwa mtu mwenye Siasa kama za Magufuli mf. Shamsi au kina Ally Karume , wana Siasa wa aina ya Shein hawafai,

Shein chupuchupu apoteze pasi 2015!
Prof. Mbarawa i wish angekuwa Rais wa Zanzibar, ni mtu makini, msikivu na mchapakazi sanaaa, mtu wa maendeleo kabisa, Mungu amsaidie Prof. Mbarawa.
 
Zoezi la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao limeanza hii leo.

Habari kutoka Zanzibar zinaeleza kuwa tayari Mbwana Juma Bakari na Ali Abeid Karume wamefungua dimba la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM.

Zoezi hilo litakamilika Juni 30, 2020 ambapo kwa upande wa Bara fomu zinatolewa katika ofisi za CCM Makao Makuu, Dodoma na kwa upande wa Zanzibar fomu hizo zinatolewa katika ofisi kuu za CCM Kisiwandui.

Chama cha Mapinduzi kilitangaza rasmi utaratibu wa kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar na wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia leo juni 15 na mwisho wa kurejesha fomu hizo ni Juni 30, 2020 saa 10:00 jioni.
Mama yetu, Samia suluhu hassani tuakutakia kila la heri October 2020 huko Zanzibar.
 
Zoezi la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao limeanza hii leo.

Habari kutoka Zanzibar zinaeleza kuwa tayari Mbwana Juma Bakari na Ali Abeid Karume wamefungua dimba la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM.

Zoezi hilo litakamilika Juni 30, 2020 ambapo kwa upande wa Bara fomu zinatolewa katika ofisi za CCM Makao Makuu, Dodoma na kwa upande wa Zanzibar fomu hizo zinatolewa katika ofisi kuu za CCM Kisiwandui.

Chama cha Mapinduzi kilitangaza rasmi utaratibu wa kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar na wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia leo juni 15 na mwisho wa kurejesha fomu hizo ni Juni 30, 2020 saa 10:00 jioni.
Tz bara vip hakuna watia nia upande wa ccm
 
samia amekuambia atagombea mkuu?
Hapana Mkuu,hata hao wengine akina Mwinyi na Mbarawa nao pia hawajaniambia, nimejaribu tu kuwataja watu ambao kwa mtazamo wangu naona wana ushawishi mkubwa Zanzibar, hata hivyo Ni suala la muda tu Mkuu ambapo yaliyojificha yatafichuliwa.
 
Samia alishaweka wazi hatagombea maana kwa ngazi aliyekuwa nayo ni namba mbili ,hawezi kwenda kugombea nafasi ya namba 3 !!nimenukuu maneno yake

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Asante Mkuu kwa ufafanuzi huu! Nampongeza na yeye pia kwa kujua mapema kuwa atakuwa tena mgombea mwenza mwaka huu na hatimaye kuwa makamu wa Raisi tena ili aendelee kuwa namba mbili kihirakia kwenye uongozi wa nchi. Japokuwa Raisi wa sasa wa Zanzibar alishakuwa makamu wa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano, kumbe alikubali kushuka chini kimadaraka?
 
A
Zoezi la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ule wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao limeanza hii leo.

Habari kutoka Zanzibar zinaeleza kuwa tayari Mbwana Juma Bakari na Ali Abeid Karume wamefungua dimba la kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM.

View attachment 1479736
View attachment 1479738

Zoezi hilo litakamilika Juni 30, 2020 ambapo kwa upande wa Bara fomu zinatolewa katika ofisi za CCM Makao Makuu, Dodoma na kwa upande wa Zanzibar fomu hizo zinatolewa katika ofisi kuu za CCM Kisiwandui.

Chama cha Mapinduzi kilitangaza rasmi utaratibu wa kuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar na wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia leo juni 15 na mwisho wa kurejesha fomu hizo ni Juni 30, 2020 saa 10:00 jioni.
AKICHAGULIWA MMOJAWAO NAKUNY MPAKA PEMBA FRM DAR
 
Back
Top Bottom