Yupo wapi yule aliyeingia ulingoni na Magufuli na Dr Migiro? Balozi Amina Ally, huyu hata kwa kumuangalia alikuwa na sura ya Urais yaani Presidential look. Nilijua angekuwa Makamu Rais lakini wapi. Sijui kwanini walimpotezea?
Bi Amina mama smart sana huyo ila kauli yake Kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm ya kusema endapo angechaguliwa kuwa mgombea wa urais angeshirikiana na Edward lowassa. ikamuharibia.