Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bi Amina mama smart sana huyo ila kauli yake Kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm ya kusema endapo angechaguliwa kuwa mgombea wa urais angeshirikiana na Edward lowassa. ikamuharibia.Yupo wapi yule aliyeingia ulingoni na Magufuli na Dr Migiro? Balozi Amina Ally, huyu hata kwa kumuangalia alikuwa na sura ya Urais yaani Presidential look. Nilijua angekuwa Makamu Rais lakini wapi. Sijui kwanini walimpotezea?
Relax! Tafuta hela..Nikiwa mkubwa nataka niwe mbishi kama wewe
Mbona bara wameprint fomu moja tuMwantum Mussa Sultan ni mwanamke wa kwanza na ni wa 11 kujitokeza kuja kuchukua fomu ya kuwania urais wa Zanzibar
View attachment 1483164
Mwantum? mbona jina la kipashikuna sana, hatufai kuwa Rais wa Zanzibar. Asante kwa kushiriki kuchukua form na kukichangia chamaMwantum Mussa Sultan ni mwanamke wa kwanza na ni wa 11 kujitokeza kuja kuchukua fomu ya kuwania urais wa Zanzibar
View attachment 1483164