Influenza JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,509 Reaction score 3,756 Jun 22, 2020 #1 Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma amekuwa Mgombea wa 16 kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar
Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma amekuwa Mgombea wa 16 kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar
P Pohamba JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 27,632 Reaction score 61,194 Jun 22, 2020 #2 ACT wameprint fomu moja tu ya Mgombea wa Urais Zanzibar
BLUE DOG JF-Expert Member Joined Dec 10, 2016 Posts 717 Reaction score 1,225 Jun 22, 2020 #3 Dhuu hao nafikiri wanataka hayo mabag tuu