Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
Wakuu,
Inawezekana ikaonekana swali la kawaida sana lakini nahitaji nipate hitimisho la uhakika kuhusu swali hili.
Namba arobaini(40) kwa kiingereza sanifu inaandikwaje
Je ni 'Fourty' au Forty?
Nimejaribu kuangalia mtandaoni wanasema "fourty" ilikuwa inatumika zamani lakini sikuhizi haitumiki na ukitumia inakuwa ni kosa hivyo neno sahihi ni FORTY.
Wajuzi karibuni.
Ahsante.