Zanzibar 2020 Namba 6: Dokta Salhina Amour Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar ajitupa ulingoni kuwania Urais

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dokta Salhina Amour amefika katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini unguja na kuchukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi hiyo.

Hii ni mara ya pili kwa Dokta.Salhina Amour ambaye pia amewahi kuwa katibu mkuu wizara ya afya serikali ya mapinduzi Zanzibar kuchukua fomu kama hiyo kuomba kuteuliwa kugombea nafasi hiyo.

CCM ilifungua milango kwa wanaoomba nafasi ya uteuzi kwa nafasi ya Urais wa Jamhuri na Zanzbar kuanza kuchukua fomu na kutafuta wadhamini ambapo mwisho ni June 30.
 
View attachment 1481447

Ni jambo jema!

Chadema ni Dr mmoja tu kachukua fomu.......mwanamama pekee!
 
Back
Top Bottom