Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Unakuta mtu ndio umekuta nae kwa mara ya kwanza na njia ambayo ya kuweza kumfikia ni mawasiliano sasa unakuta anakutajia namba ikishafika kwenye sita na 9, huwa tunachanganya sana, tunaweka vice versa kwa kutosikia vizuri
Hii inapelekea kutoweza kuwasiliana na mtu huyo.
Hii inapelekea kutoweza kuwasiliana na mtu huyo.