Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm ni kama maji!Wasiyempenda kaja
Mchakato huu pia utasaidia kupata Makamu wa rais na mawaziri so usiwe na wasiwasi ni mchakato utakaota raking ya scores. Ili kurahisisha picking ya presidential candidate and so onNi mpole sana ndo maana akaondolowa wizara ya Mambo ya ndani
Kama Kura zitakuwa huru bila shinikizo wala kubebwa wala kulazimishwa.Awezi kumpiku mwinyi
mkuu huyo jamaa unamfahamu kiundani?Kama Kura zitakuwa huru bila shinikizo wala kubebwa wala kulazimishwa.
Basi Ndugu SHAMSI VUAI NAHODHA ndiye Raisi Stahiki wa Zanziba.
Ni Mzanzibari aliyeitumikia Zanzibar kwa kipindi kirefu, kwa vyeo mbalimbali, kwa uaminifu mkubwa na kwa Uzalendo uliotukuka.
Hata 60 ajafika jamaa ana miaka 57 kazaliwa mwaka 1962Kweli jamaa kama kazeeka au mpiga picha kamhujumu. Hivi ana miaka 65-70 au?
Namfahamu sana, ni Mtu Mzalendo, Muadilifu na Mwenye tabasamu la Moyoni mda wote.mkuu huyo jamaa unamfahamu kiundani?
Huyu anajichosha tu hapati kabisaWaziri kiongozi mstaafu wa Zanzibar ambaye alihudumu kuanzia mwaka 2000 – 2010, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM mapema leo asubuhi katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui.
Kastaafu miaka 10 iliyopita anarudi tena ulingoni.Jamani apumzike tu aachie wengine .Kupata hawezi kupata.Anyway ni haki yake kuchukua fomuWaziri kiongozi mstaafu wa Zanzibar ambaye alihudumu kuanzia mwaka 2000 – 2010, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu
Hafai huyo, atavunja muunganoNamfahamu sana, ni Mtu Mzalendo, Muadilifu na Mwenye tabasamu la Moyoni mda wote.
Yaani ni mtu Mwema.
Sio kwamba nampigia Debe ila naeleza Ukweli, yuko vizuri katika hadhi ya Uongozi wa juu na alishatumikia nafasi ya.
Waziri Mkuu wa Zanzibar ( wenyewe wana jina lao) na akafanya vizuri sana.
Ha...ha....ha....Hafai huyo, atavunja muungano
Maalim seifMchakato wa urais Znz wakiachiwa wazanzibar wenyewe bila kuingiliwa, huyu ndie Rais.
Tatizo ni ...!!?
So unfair.
Acha tu atest zari, ila Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi ameonyesha ukaribu sana na Rais wa sasa.
Rais wa Zanzibar bado hajachukua fomu.Huyo ndio hasa anayepaswa kuwa Rais Wa Zanzibar kupitia CCM.
SHAMSI VUAI NAHODHA
Kabisa.
Huyu mimi nampa 100 kwa 100.
Ha...ha....ha....
Kwanza kwa taarifa, huyo alipata Uwaziri Kiongozi akiwa Yanki tu.
Hajafikisha miaka 60.
Basi kwa taarifa huyo ni Muumini wa Muungano sana.
Katika watu walioipigania zanzibar kuiondoa katika Utawala wa Kimwinyi wa Kisultani basi ni Mzee Vuai. Someni Historia ya Mapinduzi.
Huyo ni Mwanawe na Amerithi Uzalendo toka kwa Baba yake.
Ni maisha tu huyo bado Dogo Sana.
Kama raisi wa zanzibar hatapangwa kutoka dodoma Shamsi ndiye mtu sahihi kwa sasa ukiachana na wale wa ule ukoo wa ubwenyenye na usultaniMpambano Unaenda Vizuri
Acha tu atest zari, ila Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi ameonyesha ukaribu sana na Rais wa sasa.