Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Una gari kwenye EA? Au unawaagia wenzio..??? Una mpango wa kununua gari kwenye EB? Au unawakaribishia wenzio, a.k.a mshika mapembe..??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Una gari kwenye EA? Au unawaagia wenzio..??? Una mpango wa kununua gari kwenye EB? Au unawakaribishia wenzio, a.k.a mshika mapembe..??
[emoji3][emoji3]Hujatosheka na F za darasani kamanda?[emoji1787]
Kabisa mkuu..hata juzi nilikuwa namchekesha rafiki yangu kuwa namba D ilikuwa Ina vibe la kipekeeIla kiukweli namba E haina mzuka kama ilivyokuwaga D
T111 EPANasubiri ZAA
Una uhakika utakuwa hujafa kweli?Nasubiri ZAA
Hakuna mwenye hakika ya maisha mkuu.Una uhakika utakuwa hujafa kweli?
Usijali utapata Mtani.Kwenye E ninahitaji gari ila sijajua
Yes mpaka T 999 EZZUsijali utapata Mtani.
Hahahaaa. Sio mbaya.Yes mpaka T 999 EZZ
Nadhani ni miaka miwili mbeleHahahaaa. Sio mbaya.
Namba ZAA itafika mwaka 2200.Una uhakika utakuwa hujafa kweli?