Namba hazidanganyi Ronaldo yupo kwenye anguko kama Rooney

Ronaldo yupi wa kupiga Hat Trick?

huyu jamaa sio mzima. eti penaldo kacheza UEFA hajapumzika, kacheza EURO hajapumzika. LAME EXCUSES! Griiezman kacheza nae EURO akiwa na kikos cha France, kacheza UEFA mpaka final, mbona yeye haja flop kama TEAM MAFUTA! alafu hujui kama penaldo hajacheza mechi za pre-season na mwanzo za ligi sababu ya mapumziko? wengi wanao mshabikia Ronaldo hawamshabikii sababu ya mpira anao cheza, they just love his six packs, his greasy hair and other stuff! mwaka unaelekea kuisha huu, messi anaongoza kwa magoli na assist akifuatiwa na suarez.acha aendelee kumuita king huyo diver ambae kama hajafunga bas hana mchango kweenye team. wakati sisi tunaenjoy the full football package from professor Leonel Andres Messi, kuanzia magoli, assist, skills and his football miracles!
 
Kwani anamiaka mingapi,amechukua tuzo ngapi,kulikua na akina Pele,Maradona akina Gaucho wako wapi leo hii siwezi kumshangaa Ronaldo hata akiisha keshatumika
 
Sitosahau mechi ya athletic bilbao na barcelona messi anaingia sub baada ya kurecover from injury na anafunga goli murua kabisa na kuufanya mpira kuonekana mchezo mwepesi sana..the lad is talented.. Hii ni zawadi kwa football fans wanaoujua na kuupenda huu mchezo..
 
Oya mzee namba azidangaji Andunje ameshakubali wewe vp bado tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Team andunje bana [emoji23]



 
Kwani huyo greeaman ana goli ngapi?
 
Mkuu, una maoni gani kuhusu mfungaji bora wa UCL kwa miaka 5 mfululizo?.
 
Haa ha ha
 
Haa ha ha Real Madrid.
 
Akiba ya MANENO ni muhimu sana..!
 
Mpaka anaingia robo fainali alikiwa na magoli mawili
 
msimu umemalizika njoo tuhesabu wote makombe waliochukua hao wachezaji [emoji3]
 
[emoji12]
 
 

Attachments

  • IMG-20170604-WA0010.jpg
    50.8 KB · Views: 31
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…