tamadunimusic
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 551
- 559
Hivi nyie mnafkli ronaldo anakuwa kiumri kurudi chini ama, na umri pia ushakuwa kikwazo utalazimisha watu tufklie uelewa wako umekaa vp kwa kumlinganisha ronaldo wa 2014 na ronaldo wa 2016
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni jibu la mkurupuko huna sababu ila ni kupinga tu na hujui kwanini unapingaUnauliza makofi polisi...
Mbaya zaidi ZIZU anasema MESSI ATABAKI KUWA MESSI[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yani hapo ndio kapigilia msumari
uko sahihi hawa washabiki wake ukiwauliza kwa nini wanamchukia MESSI hawana jibu wakati KING hana majivuno wala majigambo wala hafunui mapajaHapo ndio kamaliza kila kitu..u know that Zizzou anajua kila kitu kuhusu messi na ameamua kuyatoa ya moyoni ya ronaldo....hata hawa mafanZ wanajua kabsaa mtu wao si chochote kwa messi...basi chuki za kijinga ziczokua na maana [ HATE Iz USELESS ]
Hilo ni jibu la mkurupuko huna sababu ila ni kupinga tu na hujui kwanini unapinga
Nanihii ulale wewe ndo shida yenu watoto mliozaliwa kwenye siasa kila kitu mnaweka siasa... Jibu kama swali lilivyo acha mbwembweUsijitoe ufahamu kijana ukajifanya hujui chochote kile....just think b4 u post, na sina time ya kubishana na mtu wa maswali yasiyoeleweka...
Yeye na Messi nani anaongoza kuwa Pancha? Ronaldo muda umeisha.
Nanihii ulale wewe ndo shida yenu watoto mliozaliwa kwenye siasa kila kitu mnaweka siasa... Jibu kama swali lilivyo acha mbwembwe
Ahsante nawe pia.. Lala kesho uwahi shule....[emoji468]Kwa taarifa yako mimi sio mtoto, pili- huwa sikurupuki kujibu maswali ya kijinga kama haya.....yaani hata mtoto wa 7yrs old ukimuliza swali kama hilo atakupuuza... trust me kijana...na jifunze kuuliza maswali yaliyoenda shule sio ilimradi tu na ww uonekane umepost ukajua umeuliza kitu cha maana...ucku mwema
uko sahihi hawa washabiki wake ukiwauliza kwa nini wanamchukia MESSI hawana jibu wakati KING hana majivuno wala majigambo wala hafunui mapajaView attachment 407963
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]et ndala fc
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]et ndala fc
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wazee wa suluhu😀😀😀 au mbao fc
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wazee wa suluhu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilishaandaa ile emoji ya piga mbwaaaaaaaaaaa ila si mbaya japo lawama ziende kwa sporting cp wangekaza mechi ya kwanza ingekuwa leo hawa madrid wana point 1😀😀😀 piga mbwaaaaaaaa....ah kumbe wamesuluhu nilikua sijaona vizuri mpaka nimevaa miwani...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilishaandaa ile emoji ya piga mbwaaaaaaaaaaa ila si mbaya japo lawama ziende kwa sporting cp wangekaza mechi ya kwanza ingekuwa leo hawa madrid wana point 1
Hii mijamaa wanajisahaulisha kuwa Madrid ndiye Mwenye Kombe la UEFA,Cr7 katoka majeruhi na hajacheza mechi kadhaa. Mechi zote tatu tumetoa suluhu tena mbili opponent ndiye anacomeback.Wanabeza ronaldo Na Madrid kwa ujumla, nawashangaa, kina kipindi timu haifanyi vzr, lkn Madrid hili ni suala la muda tu,