Namba hazidanganyi,utabibu wa nyota unaonyesha kesho Yanga anafungwa lakini

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Kuelekea Mechi ya simba na Yanga

siku ya jumamosi hutawaliwa na sayari ya zohar na nyota yake ni ya mbuzi na kondoo.Sayari hii ni nyeusi na inahusika na mambo mabaya kama kuvunjika kwa vitu,magomvi,hujuma nk

Simba yanga
=1

Mechi inachezwa tarehe 1 na namba 1 ni witiri haigawanyika kwa mbili...Simba namba yake kitabibu ni 19,Yanga namba yake kitabibu ni 25,hivo simba na yanga wote wana namba witiri..

S=19
Y=25
S=19+9+13=41
Y=25+1+26+14=40

Simba=42
Yanga=41

NB:Mechi hii simba atashinda uhakika kwa 100%, sababu namba ya siku na tarehe na nyota inambeba na ndivyo inavyosema.tarehe 1 ni namba witri na mwezi wa 10 ni shufa na mahesababu ya kitabibu yanaonyesha namba za simba zinalingana na hivyo ushindi kwa simba ni lazima,lakini wasiwasi wangu siku mechi inayochezwa hutawaliwa na nyota ya zohal,ktk mechi hii tunaweza kushuhudia kadi,ugomvi,injury au chochote kibaya.
 
Aanataka tktyakoo huyoondiowale leoowaneambiwa network njootaifa wanatakakupunguza watuwasiende wapate tkt
 
Aanataka tktyakoo huyoondiowale leoowaneambiwa network njootaifa wanatakakupunguza watuwasiende wapate tkt
Tusiongee sana mkuu
Tuombe uzima kesho
Naomba unipatie mrejesho baada ya mchezo
 
Mnajimu panapo majaaliwa tukutane hapa saa 12 jioni ili uendelee kuthibitisha umwamba wako.
 
19 na 25 znatoka wapi
 
Mtaalam naomba uwepo saa 12 jion kwa ajili ya feedback otherwise tuache twende kwanza taifa
 
Mkuu umepatia kwnye ugomvi tu...
Mechi hasira hasira tu
 
ivi mtabiri ulikumbuka kutabiri yanga atatangulia kufunua mkia kuona kuna nn?

vp umeme kwa kijana wa mkia ulikumbuka hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…