Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimemaliza kazi yangu kwa niliyoyatabiriWe unajua, ungekuwa una bet ungemla sana kanjibhai!
Duh huu utabiri.......tusubiri kipindi cha pili
Kuelekea Mechi ya simba na Yanga
siku ya jumamosi hutawaliwa na sayari ya zohar na nyota yake ni ya mbuzi na kondoo.Sayari hii ni nyeusi na inahusika na mambo mabaya kama kuvunjika kwa vitu,magomvi,hujuma nk
Simba yanga
=1
Mechi inachezwa tarehe 1 na namba 1 ni witiri haigawanyika kwa mbili...Simba namba yake kitabibu ni 19,Yanga namba yake kitabibu ni 25,hivo simba na yanga wote wana namba witiri..
S=19
Y=25
S=19+9+13=41
Y=25+1+26+14=40
Simba=42
Yanga=41
NB:Mechi hii simba atashinda uhakika kwa 100%, sababu namba ya siku na tarehe na nyota inambeba na ndivyo inavyosema.tarehe 1 ni namba witri na mwezi wa 10 ni shufa na mahesababu ya kitabibu yanaonyesha namba za simba zinalingana na hivyo ushindi kwa simba ni lazima,lakini wasiwasi wangu siku mechi inayochezwa hutawaliwa na nyota ya zohal,ktk mechi hii tunaweza kushuhudia kadi,ugomvi,injury au chochote kibaya.
Hahahaah mkuu nitapita huko muda si mrefu...,maana sijaingia kule muda mrefu kidogo😀😀mkuu Katavi kuna wageni jukwaa la UTAMBULISHO wanahitaji makaribisho yakhee, nasikia wewe ndie master wa kupokea wageni....
Hahahaah mkuu nitapita huko muda si mrefu...,maana sijaingia kule muda mrefu kidogo
DRWTusiongee sana mkuu
Tuombe uzima kesho
Naomba unipatie mrejesho baada ya mchezo