Namba hazidanganyi,utabibu wa nyota unaonyesha kesho Yanga anafungwa lakini

Namba hazidanganyi,utabibu wa nyota unaonyesha kesho Yanga anafungwa lakini

Duh huu utabiri.......tusubiri kipindi cha pili
 
Kuelekea Mechi ya simba na Yanga

siku ya jumamosi hutawaliwa na sayari ya zohar na nyota yake ni ya mbuzi na kondoo.Sayari hii ni nyeusi na inahusika na mambo mabaya kama kuvunjika kwa vitu,magomvi,hujuma nk

Simba yanga
=1

Mechi inachezwa tarehe 1 na namba 1 ni witiri haigawanyika kwa mbili...Simba namba yake kitabibu ni 19,Yanga namba yake kitabibu ni 25,hivo simba na yanga wote wana namba witiri..

S=19
Y=25
S=19+9+13=41
Y=25+1+26+14=40

Simba=42
Yanga=41

NB:Mechi hii simba atashinda uhakika kwa 100%, sababu namba ya siku na tarehe na nyota inambeba na ndivyo inavyosema.tarehe 1 ni namba witri na mwezi wa 10 ni shufa na mahesababu ya kitabibu yanaonyesha namba za simba zinalingana na hivyo ushindi kwa simba ni lazima,lakini wasiwasi wangu siku mechi inayochezwa hutawaliwa na nyota ya zohal,ktk mechi hii tunaweza kushuhudia kadi,ugomvi,injury au chochote kibaya.

Pole sana py thon...naona utabiri wako haukuendana
 
  • Thanks
Reactions: PNC
😀😀mkuu Katavi kuna wageni jukwaa la UTAMBULISHO wanahitaji makaribisho yakhee, nasikia wewe ndie master wa kupokea wageni....
Hahahaah mkuu nitapita huko muda si mrefu...,maana sijaingia kule muda mrefu kidogo
 
Mnajimu embu kuja hapa aiseee kwenye ugomv uko sahh na kwenye matokeo ulikua sahh ila tu refa kaharbu utabr wako
 
Kama nilivyosema awali siku ya Leo hutawaliwa ni vitu vby kama hujuma,ugomvi nk na nyota ilikuwa inambeba simba ndio maana licha ya kuwa pungufu waliweza kusawazisha na kuhusu hujuma kweli goli la simba lililokataliwa na goli la yanga pia kwa namna moja mchezo wa Leo kulikuwa na hujuma na ugomvi..

Mechi imekuwa sare lkn siku ya Leo haikuwa nzur kitabibu kwa upande wa yanga ndio maana hawakuweza kuondoka na ushindi,
1475356258519.jpg
 
Mnajimu embu kuja hapa aiseee kwenye ugomv uko sahh na kwenye matokeo ulikua sahh ila tu refa kaharbu utabr wako
Haha cyo ugomvi tu pia na hujuma nimepatia sema kdg tu ,sema refa kazingua haha
 
Ulichobashiri katika utabiri wako ni sawa tuliona fujo magomvi na kadi ,viti kung'olewa bao halali kukataliwa na bao haramu kukubaliwa.
 
upon vizuri sana. ebu tuambie man city , man u name Leicester
 
upon vizuri sana. ebu tuambie man city , man u name Leicester
 
Back
Top Bottom