Namba hii ina maana gani? 1.6180339887.

Conspiracy theory at best!
 
Mkuu hili somo ni pana sana. Kwa jinsi ulivyoeleza inaonekana upo vizuri. Sasa hapo red ungeeleza hata kidogo. Ila Ahsante
 
mkuu kama wewe ni msomaji wa biblia nisaidie hili, je ujenzi wa SAFINA alioufanya NUHU ulizingatia hiyo golden ratio ya 1.618?
Nimeuliza hivyo kwasababu MOLA alimpatia NUHU vipimo maalumu vya kimahesabu katika ujenzi huo.
exactly.....hiyo ndo dimension control ya kila kitu katika msawazo unaendana na reality kwa kwa kitu...
 
KWANINI UNAFIKIRI KUWA NI UONGO
Mkuu kifupi ukitaka kuijua hiyo golden ratio au zile namba za Tesla itakubidi usome na uangalie documentary nyingi sana ambazo ni za positive way ili uweze ku-crack hizo code muda huo wote utakufanya uwe pia unatoa positive results zitakazo kupeleka kwenye kufikia baadhi ya mafanikio.

Muda huo wote utakuwa unapuuzia mambo ya kijinga na kuwa na ratiba muhimu tu and in other way IQ itaongezeka tu na kufika mafanikio bila kuja kuijua hiyo ratio

Huwa hizi mambo nazichukulia kama vile mtu akikwambia soma vitabu uongeze uelewa so hata wewe ukifanikiwa utasema tu watu waijue hiyo ratio na wakikuuliza uwafafanulie hutaweza kwa sababu hata Wewe huijui

Huwa zinaongeza chachu ya utafutaji tu
 
Zijumlishe hizo namba kwenda ... Mbele hafu zitoe kurudi nyuma ... Hafu jumlisha hiyo product .... Hiyo product utakayopata ijumlishe na kutoa kama mara ya kwanza baada ya hapo zidisha jibu ya hizo namba utakazopata
 
Duh, baada ya hapo inakuaje Mkuu
 
Cc. Mods
Hii comment ipandishwe pale juu kwa muuliza swali
 
Zijumlishe hizo namba kwenda ... Mbele hafu zitoe kurudi nyuma ... Hafu jumlisha hiyo product .... Hiyo product utakayopata ijumlishe na kutoa kama mara ya kwanza baada ya hapo zidisha jibu ya hizo namba utakazopata
Mkuu unamaanisha product utakayokuwa umetengeneza au unamaanisha jibu baada ya kutoa na kujumlisha namba hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…