Namba ipi ya jezi huwa unaipenda nje ya namba 1 mpaka namba 11?

Namba ipi ya jezi huwa unaipenda nje ya namba 1 mpaka namba 11?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Mimi huwa napenda namba 39 na aliyefanya niikubali hii namba ni Toni Kroos wakati akiwa Bayern Munich.

Wewe huwa unapenda ipi kubwa nje ya namba 1 mpaka 11?
IMG_2399.png
 
Sio mpenz wa soka ila shulen hakuna marks nilikua nazichukia kama 50 - 59%.
Bora nipate 40's
 
17

Kevin De Bryune
CHAMA
Sadio Mane
Alexis Sanchez
Nani

Ni jezi pekee ukivaa tu lazima mpira uujue(makes you a baller).

Ni jezi pekee ambayo Ronaldo, Messi, Rooney, Neymar, Pele, Maradona,Ronaldinho na Zidane wamewahi ivaa mwanzo wa Career zao.
 
2577466667777777774456545655654456446644567433677387656886788778-77876567876557788766888669986689 jibu lake ndo mamba ninayo ikubali
 
Back
Top Bottom