Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
namba 10 aiseeMimi huwa napenda namba 39 na aliyefanya niikubali hii namba ni Toni Kroos wakati akiwa Bayern Munich.
Wewe huwa unapenda ipi kubwa nje ya namba 1 mpaka 11?View attachment 3051727
Memkwa ulitoka lini mkuu10,8,7&6
Sijapita, niliishia la pili FMemkwa ulitoka lini mkuu