Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
50Mya kisasa
Msingi 8-10m kwa bei za sasaNaomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni.
Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi
Mahali ni Dar es Salaam
Kuezeka 18 mls inafikaje asee...Msingi 8-10m kwa bei za sasa
Nondo 22k, cem 17.5k
Kuinua boma 10m
Kuezeka 18m (bati alaf)
Hadi hapo ni 36m-38m
Finishing apo ina depend na quality unayotaka. Mfano kuna marumaru za box 25k zipo 10. Na kuna zingine box ni 80k na zipo 10 vile vile.
Au masink kuna ya 25k na yapo ya 100k.
But kwa normal finish kwa sisi normal standard huwa tunaweka ni sawa na bei uliyotumia mpaka kuezeka. So km ujenzi ni 38m, makadiria ya finishing ya kawaida ni 38m
😂😂😂Kuezeka 18 mls inafikaje asee...
Tupeni mchanganuo, mnatutisha.
Shukrani sanaMsingi 8-10m kwa bei za sasa
Nondo 22k, cem 17.5k
Kuinua boma 10m
Kuezeka 18m (bati alaf)
Hadi hapo ni 36m-38m
Finishing apo ina depend na quality unayotaka. Mfano kuna marumaru za box 25k zipo 10. Na kuna zingine box ni 80k na zipo 10 vile vile.
Au masink kuna ya 25k na yapo ya 100k.
But kwa normal finish kwa sisi normal standard huwa tunaweka ni sawa na bei uliyotumia mpaka kuezeka. So km ujenzi ni 38m, makadiria ya finishing ya kawaida ni 38m
Kuezeka ndio panakula hela sana mwanawaneKuezeka 18 mls inafikaje asee...
Tupeni mchanganuo, mnatutisha.
Hiyo sio ya kisasa. Hiyo nyumba ili iwe ya kisasa itabugia pesa balaa mzee
76m au 80m uko sahihi hapa inatoka nyumba ya kisasa kabisa na inaweza kuzidi kidogo.Msingi 8-10m kwa bei za sasa
Nondo 22k, cem 17.5k
Kuinua boma 10m
Kuezeka 18m (bati alaf)
Hadi hapo ni 36m-38m
Finishing apo ina depend na quality unayotaka. Mfano kuna marumaru za box 25k zipo 10. Na kuna zingine box ni 80k na zipo 10 vile vile.
Au masink kuna ya 25k na yapo ya 100k.
But kwa normal finish kwa sisi normal standard huwa tunaweka ni sawa na bei uliyotumia mpaka kuezeka. So km ujenzi ni 38m, makadiria ya finishing ya kawaida ni 38m
Muheshimiwa,inategemea mkoa au wilaya ulipo.Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni.
Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi
Mahali ni Dar es Salaam
Hongera sana, ingia you tube andika SANUKA MEDIA, kuna jamaa hutoa ufafanuzi mzuri sana.Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni.
Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi
Mahali ni Dar es Salaam
Kuezeka 18 mls inafikaje asee...
Tupeni mchanganuo, mnatutisha.
Nyumba iliokamilika mpaka unahamia, fanya shillingi million 1 kwa kila square meter.Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni.
Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi
Mahali ni Dar es Salaam
Kuna bati la 20,000 na kuna bati la 50,000 ingawa yote mkiezeka hamnyeshwei na mvua. Tofauyi ya bei ndio tofauti ya gharama ya nyumba.Unaona hiyo nyumba, hadi hapo imegarim ml 50 ni room 4 master na ina kila kitu ndani, eneo ni Dodoma, kuna member mmoja kasema kupaua tu nyumba ya vyumba vitatu ni ml 18, mbona gharama sana. Kupaua kwaiyo ml 18 labda iwe nyumba kubwa sana yenye kuweza kuchukua bati zaidi ya 300
Ya kisasa ndio ikoje na hio ambayo sio ya kisasa ikoje?Hiyo sio ya kisasa. Hiyo nyumba ili iwe ya kisasa itabugia pesa balaa mzee
Unacheka? Mwamba anaweka Atenza moja juu ya pagale lake 🤣🤣🤣