Namba makadirio ya ujenzi wa nyumba yenye bedrooms 3 na master 1

Namba makadirio ya ujenzi wa nyumba yenye bedrooms 3 na master 1

3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni.



Hiyo statement sijakuelewa umemaanisha nini
 
Hiyo sio ya kisasa. Hiyo nyumba ili iwe ya kisasa itabugia pesa balaa mzee
Ndio maan nyumba itatofautiana bei kulingana na finishing unataka

nyumba ambayo mtu anaweza imaliza kwa 40M kuna mtu anaimaliza kwa 100M
 
Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni.

Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi

Mahali ni Dar es Salaam
Complete house kama kiwanja tayari unacho hapo minimum andaa like 25mill unamaliza na kuingia ndani kulala na kutengeneza watoto
 
Kwa nyumba kama hiyo
Ukubwa ni around 170-200 Sqm

  • So, makadirio kujenga yote mpaka finishing, vifaa+fundi ni around 110 - 130Mil
  • Boma (msingi, kuta, paa) ~ Tsh 60Mil

For more technical advice +255-657-685-268
Unatudanganya bwana.
 
Back
Top Bottom