Tetesi: Namba mbili CHADEMA anakaribia kujiunga na CCM, huyo aliyeenda ametangulizwa tu na Kila kitu kipo tayari. Ni sUala la muda tu

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Tetesi za kweli zisizo na shaka hata kidogo ni kwamba CCM wanakaribia kufanya usajili mzito na kila kitu kipo tayari! Baada ya yule jamaa kutambulishwa juzi, usiku wa kuamkia leo majira ya saa 12:20, kulikuwa na mazungumzo nyeti yakimhusisha namba mbili, jamaa wa Iringa pamoja na mwenyekiti mkuu wa chama kwa njia ya mkutano wa video.

Bwana yule ameahidiwa kupewa jukumu kubwa la kitaifa na kimataifa haraka iwezekanavyo! Jamaa huyo aliumizwa vibaya na utawala uliopita, hivyo akawa anataka kwanza watu wamalize kile kamchango. Hata hivyo, boss amemwambia atampa gari mpya zaidi ya ile anayoiwaza!

Habari za uhakika ni kuwa mwezi ujao jamaa ataachana na chama chake na atapokelewa rasmi katika chama cha kijani na blue! Mapokezi yamepangwa kufanyika Arusha ambapo kutakuwa na shughuli maalum. Siasa ni ugali!
 
Bado tutasikia tetesi za mama Abdul kujiunga na chama😂
 
waende tu.....hakuna shida
 
anahangaika mno, kwa maisha yake yaliyobaki namshauri vitu viwili tu.

1. Anzisha chama haraka, wewe ni threat kubwa san akwa ccm, utachukua nchi yote.
au
2. hamia ccm mapema, ule nchi kwasababu ukiwa chadema malengo yako hayatatimia.

povu ruksa.
 
Uchochezi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…