MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Ndoto zingine jamani mtoa maada angalia ushakojoa kitandani saaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema vyema!anahangaika mno, kwa maisha yake yaliyobaki namshauri vitu viwili tu.
1. Anzisha chama haraka, wewe ni threat kubwa san akwa ccm, utachukua nchi yote.
au
2. hamia ccm mapema, ule nchi kwasababu ukiwa chadema malengo yako hayatatimia.
povu ruksa.
Vip kuhusu hoja ya ufisadi ya Mh Mpina mkuu?Tetesi za kweli zisizo na shaka hata kidogo ni kwamba CCM wanakaribia kufanya usajili mzito na kila kitu kipo tayari! Baada ya yule jamaa kutambulishwa juzi, usiku wa kuamkia leo majira ya saa 12:20, kulikuwa na mazungumzo nyeti yakimhusisha namba mbili, jamaa wa Iringa pamoja na mwenyekiti mkuu wa chama kwa njia ya mkutano wa video.
Bwana yule ameahidiwa kupewa jukumu kubwa la kitaifa na kimataifa haraka iwezekanavyo! Jamaa huyo aliumizwa vibaya na utawala uliopita, hivyo akawa anataka kwanza watu wamalize kile kamchango. Hata hivyo, boss amemwambia atampa gari mpya zaidi ya ile anayoiwaza!
Habari za uhakika ni kuwa mwezi ujao jamaa ataachana na chama chake na atapokelewa rasmi katika chama cha kijani na blue! Mapokezi yamepangwa kufanyika Arusha ambapo kutakuwa na shughuli maalum. Siasa ni ugali!
CHADEMA ni watu, sio MTU.Tetesi za kweli zisizo na shaka hata kidogo ni kwamba CCM wanakaribia kufanya usajili mzito na kila kitu kipo tayari! Baada ya yule jamaa kutambulishwa juzi, usiku wa kuamkia leo majira ya saa 12:20, kulikuwa na mazungumzo nyeti yakimhusisha namba mbili, jamaa wa Iringa pamoja na mwenyekiti mkuu wa chama kwa njia ya mkutano wa video.
Bwana yule ameahidiwa kupewa jukumu kubwa la kitaifa na kimataifa haraka iwezekanavyo! Jamaa huyo aliumizwa vibaya na utawala uliopita, hivyo akawa anataka kwanza watu wamalize kile kamchango. Hata hivyo, boss amemwambia atampa gari mpya zaidi ya ile anayoiwaza!
Habari za uhakika ni kuwa mwezi ujao jamaa ataachana na chama chake na atapokelewa rasmi katika chama cha kijani na blue! Mapokezi yamepangwa kufanyika Arusha ambapo kutakuwa na shughuli maalum. Siasa ni ugali!
Magufuli alishindwa...Ndoto zingine jamani mtoa maada angalia ushakojoa kitandani saaa
Hahaha weka jiwe na weka helaMGANGA KOLOMBOSTIKA hebu msikilize huyu Mganguzi kisha uniambie kama yuko sahihi.
Mie nijuavyo Mganga Hajigangi , si ndiyo mganga emanueli ???
Naetaka kuondoka ,haondoke ,chadema taifa kubwaTetesi za kweli zisizo na shaka hata kidogo ni kwamba CCM wanakaribia kufanya usajili mzito na kila kitu kipo tayari! Baada ya yule jamaa kutambulishwa juzi, usiku wa kuamkia leo majira ya saa 12:20, kulikuwa na mazungumzo nyeti yakimhusisha namba mbili, jamaa wa Iringa pamoja na mwenyekiti mkuu wa chama kwa njia ya mkutano wa video.
Bwana yule ameahidiwa kupewa jukumu kubwa la kitaifa na kimataifa haraka iwezekanavyo! Jamaa huyo aliumizwa vibaya na utawala uliopita, hivyo akawa anataka kwanza watu wamalize kile kamchango. Hata hivyo, boss amemwambia atampa gari mpya zaidi ya ile anayoiwaza!
Habari za uhakika ni kuwa mwezi ujao jamaa ataachana na chama chake na atapokelewa rasmi katika chama cha kijani na blue! Mapokezi yamepangwa kufanyika Arusha ambapo kutakuwa na shughuli maalum. Siasa ni ugali!
Hadithi bila ushahidi ni Porojo na Porojo hupuuzwa.Endelea kuzipuuza kama ambavyo wewe umepuuzwa
Kwanini usiweke source yako hapa hapa Jukwaani ili Watu wote waisome.Ukitaka ushahidi njoo nikupe
Kuwaamini wanasiasa inazidi kuwa ngumu sana kwangu, nachojua wakihamia huko ni haki yao, lakini nikikumbuka nilivyomuamini Dr. Slaa na kile alichokuja kufanya, tangu wakati ule nimeufungua moyo wangu kwa yeyote afanye atakavyo.Sio tu chembamba
Kuna wanao nunulika. Huyu siyo mmoja wao!Bwana yule ameahidiwa kupewa jukumu kubwa la kitaifa na kimataifa haraka iwezekanavyo! Jamaa huyo aliumizwa vibaya na utawala uliopita, hivyo akawa anataka kwanza watu wamalize kile kamchango. Hata hivyo, boss amemwambia atampa gari mpya zaidi ya ile anayoiwaza!