Tetesi: Namba mbili CHADEMA anakaribia kujiunga na CCM, huyo aliyeenda ametangulizwa tu na Kila kitu kipo tayari. Ni sUala la muda tu

Umesema vyema!
Aanzishe chama leo leo nchi itavurugika lakini tutakuwa tumetoka kwenye ukoloni mamboleo

Atavuna sisiem nccr chadema atc cuf tlp wasio na vyama tutakuwa tumejikomboa uwiiiiii
 
Vip kuhusu hoja ya ufisadi ya Mh Mpina mkuu?
 
BEFORE and AFTER Msigwa huyu wa CCM akikutana na Msigwa yule wa CHADEMA ngumi zinaweza kupigwa hadharani.
 
CHADEMA ni watu, sio MTU.
 
Naetaka kuondoka ,haondoke ,chadema taifa kubwa
 
Sio tu chembamba
Kuwaamini wanasiasa inazidi kuwa ngumu sana kwangu, nachojua wakihamia huko ni haki yao, lakini nikikumbuka nilivyomuamini Dr. Slaa na kile alichokuja kufanya, tangu wakati ule nimeufungua moyo wangu kwa yeyote afanye atakavyo.

Watanganyika tunachangia kwa namna fulani kuwachosha hawa jamaa, kuna wakati wanakuwa serious kuleta mabadiliko, bahati mbaya sisi wengine tunakuwa wazito kuyapokea kwa kufanya kile wanachotutaka tufanye kwa wakati.

Lazima nasi kwa namna moja au nyingine tukubali lawama, tusiishie kila wakati kuwanyooshea wao vidole wamenunuliwa, ikiwa kila siku wanatupigia kelele tunaibiwa ajabu ndio tunazidi kuuchapa usingizi, nao wanachoka ni wanadamu pia.
 
Kuna wanao nunulika. Huyu siyo mmoja wao!

CCM haina bei ya kununua watu wa aina hii.
Mada yako imevurugikia hapo hapo.

Unge endeleza hadithi yako upande wa Mwenyekiti, ingenoga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…