bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,141
- 1,294
wakenya ni wachamba wima...tumieni maji jaman mnanuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunanuka jasho la ushindi kaka......nyie mnanukia uvivu!wakenya ni wachamba wima...tumieni maji jaman mnanuka
Sisi tunachimba Uranium, Dhahabu, Tanzanite, Gesi, Almasi, Shaba, Mafuta, Chuma (Liganga), Makaa ya Mawe, Upepo wa Umeme (Singida).
Nyie mnang'ang'ana na mbio kama wezi wa mifugo!!
wakenya ni wachamba wima...tumieni maji jaman mnanuka