Namba moja na mbili hawapeani mikono; Ndio kama inavyosemwa AU ni dini?

Namba moja na mbili hawapeani mikono; Ndio kama inavyosemwa AU ni dini?

Angewapa wengine amruke namba mbili nchi ingepasuka. Akazuga kwa wote
Poleni haters; hakika mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, anawapelekesha Hadi Raha. Kazi yenu Sasa ni hii tu, kukata miuno kwa mdundo atakaoamua kupiga🤣🤣🤣
 
Mimi nataka wauane kabisa tujue moja wasituletee usanii wao hapa.
Ukitaka wauane inabidi ukipata taarifa kama hii aliyoileta britanicca inabidi ukae kimya.

Kama anayosema mtoa mada ni kweli ina maana ni sawa na kwenye mechi ya Simba na Yanga pale ambapo beki wa Yanga anataka kukamata mpira kwenye 18, halafu striker wa Simba anapiga kelele na kusema "Mwamnyeto weka mikono nyuma utasababisha penati".

Kupasuka kwa CCM ni faida kwa Wapinzani, kama ilivyo kuzembea kwa beki za Yanga ni faida kwa Simba Sports
 
Wanaodhani Rais na makamu wake hawaivi ni sisi wa huku mitandaoni.

Hao wote ni CCM tena wamekulia humo, usitegemee wakagombana kiasi cha ugomvi wao kudumu kwa muda mrefu.
 
COVID 19 haijawahi kutoka nchini. Nini huyo unayemsema huwa hampi mkono Boss wake? mimi mwenyewe sisalimiani na mtu kwa mkono wala sichovyi maji ya baraka nikiingia makanisa ya RC kwa kuogopa maambukizi ya COVID 19. leta habari nyingine
Wanatafuta vihabari vya kufurahisha nafsi zao japo kwa muda mfupi.
 
Hiyo ni movie tu kama movie zingine za Ccm na ukiwa mjinga kama mlivyo wengi wenu mnaamini kwanza kuna tatizo

Ccm ni chama kikongwe na kinawajua wananchi wake wanapenda vtu gan na hawapendi vitu gan so kucheza na akili zenu ni kitu kidogo sana kwao

Ni sawa na Freeman mbowe alivyokua anacheza na akili za wana chadema, kwa sisi chadema wenye akili mbowe kulimkataa miaka 15 iliyopita ila chadema wajinga walimuamini adi pale alipo shindwa na kuamua kukaa kmy ndo wakaamini kwamba mbowe ni bomu ndan ya chama
 
Kwa hiyo wewe unapenda huo wizi na dhulma?
 
Kama ni dini mbona alimpa mkonio Putin?ZILONGFA NA ZITENDA

Mama huyu ni mshirikina kupita kiasi, kama mtakumbuka alileta waganga bungeni, mlango ulipofunguka wakaonekana waganga wawili wakike wakiwa wanamfukizia dawa. Hakuna asiyejua kuwa anafanya uchawi. Waganga washamwambia kwamba mwenzio anataka kuharibu nyota yako. Usimpe mkono....atachukua nyota yako.
 
.... anamshika mikono mara paaah jamaa kashikwa na kiharusi kadondoka, si watasema mama kaja na Polonium na kamuondoa mwenzie!!?
Mi hata kumkaribisha mtoto wa jirani chakula naogopa sikuhizi ... WASWAHILI MNA MAMBO!
 
Hiyo ni movie tu kama movie zingine za Ccm na ukiwa mjinga kama mlivyo wengi wenu mnaamini kwanza kuna tatizo

Ccm ni chama kikongwe na kinawajua wananchi wake wanapenda vtu gan na hawapendi vitu gan so kucheza na akili zenu ni kitu kidogo sana kwao

Ni sawa na Freeman mbowe alivyokua anacheza na akili za wana chadema, kwa sisi chadema wenye akili mbowe kulimkataa miaka 15 iliyopita ila chadema wajinga walimuamini adi pale alipo shindwa na kuamua kukaa kmy ndo wakaamini kwamba mbowe ni bomu ndan ya chama
‘ Hiyo ni movie tu kama movie zingine ‘ mwisho wa kunukuu 😳🙄 !
Duh !
 
Back
Top Bottom