Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Sasa mbona unaamdika unafiki hapa, sio kuishi linafiki huko?!!!Hakuna maisha yamenishinda hapa duniani kama yale ya kuishi kinafiki!
Poleni haters; hakika mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, anawapelekesha Hadi Raha. Kazi yenu Sasa ni hii tu, kukata miuno kwa mdundo atakaoamua kupiga🤣🤣🤣Angewapa wengine amruke namba mbili nchi ingepasuka. Akazuga kwa wote
Putin wa Russia ni mwanamke?!.Unajua Mwanamke wa Kiislamu ashikani mkono na mwanaume
Kwa hiyo Putin alimshika kichwa?Unajua Mwanamke wa Kiislamu ashikani mkono na mwanaume
Ukitaka wauane inabidi ukipata taarifa kama hii aliyoileta britanicca inabidi ukae kimya.Mimi nataka wauane kabisa tujue moja wasituletee usanii wao hapa.
Hivi huyu si kuna sehemu aligusana kabisa na yule jamaa wa royo tua, na kama sikosei kuna picha tuliiona humu ameguswa na RC mmoja mstaafu wa DarKwa Mabeberu Mbona Walishikana Nao Vizuri Sana, Tanzania Kumekuwa Kugumu Tena
Wanatafuta vihabari vya kufurahisha nafsi zao japo kwa muda mfupi.COVID 19 haijawahi kutoka nchini. Nini huyo unayemsema huwa hampi mkono Boss wake? mimi mwenyewe sisalimiani na mtu kwa mkono wala sichovyi maji ya baraka nikiingia makanisa ya RC kwa kuogopa maambukizi ya COVID 19. leta habari nyingine
Putin atakuwa dini gani?Unajua Mwanamke wa Kiislamu ashikani mkono na mwanaume
La kigiriki sio la vaticanPutin atakuwa dini gani?
Kwa hiyo wewe unapenda huo wizi na dhulma?Hiyo ni movie tu kama movie zingine za Ccm na ukiwa mjinga kama mlivyo wengi wenu mnaamini kwanza kuna tatizo
Ccm ni chama kikongwe na kinawajua wananchi wake wanapenda vtu gan na hawapendi vitu gan so kucheza na akili zenu ni kitu kidogo sana kwao
Ni sawa na Freeman mbowe alivyokua anacheza na akili za wana chadema, kwa sisi chadema wenye akili mbowe kulimkataa miaka 15 iliyopita ila chadema wajinga walimuamini adi pale alipo shindwa na kuamua kukaa kmy ndo wakaamini kwamba mbowe ni bomu ndan ya chama
Mama huyu ni mshirikina kupita kiasi, kama mtakumbuka alileta waganga bungeni, mlango ulipofunguka wakaonekana waganga wawili wakike wakiwa wanamfukizia dawa. Hakuna asiyejua kuwa anafanya uchawi. Waganga washamwambia kwamba mwenzio anataka kuharibu nyota yako. Usimpe mkono....atachukua nyota yako.Kama ni dini mbona alimpa mkonio Putin?ZILONGFA NA ZITENDA
Ila video hii kuna some point za Kufikirisha... No hand shaking, then kuna muda makamu akajiweka nyuma ya mkuu wake mpaka mlinzi akamwambia pita mbele kwa ishara ya mkono 🤔🤔🤔Kama ni dini mbona alimpa mkonio Putin?ZILONGFA NA ZITENDA
‘ Hiyo ni movie tu kama movie zingine ‘ mwisho wa kunukuu 😳🙄 !Hiyo ni movie tu kama movie zingine za Ccm na ukiwa mjinga kama mlivyo wengi wenu mnaamini kwanza kuna tatizo
Ccm ni chama kikongwe na kinawajua wananchi wake wanapenda vtu gan na hawapendi vitu gan so kucheza na akili zenu ni kitu kidogo sana kwao
Ni sawa na Freeman mbowe alivyokua anacheza na akili za wana chadema, kwa sisi chadema wenye akili mbowe kulimkataa miaka 15 iliyopita ila chadema wajinga walimuamini adi pale alipo shindwa na kuamua kukaa kmy ndo wakaamini kwamba mbowe ni bomu ndan ya chama