Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
- Thread starter
- #21
Mkuu! I can't explain how thankful I am! Nashukuru sana! Nimefanikiwa!Hii app nilisahau kukueleza kuwa play store haipo download kupitia chrome au google search.
Kama ikishindikana kabisa pia unijulishe mkuu niweze kuuweka huo wimbo hapa moja kwa moja.