Namba ufafanuzi wadau wa soka

Utaelewa tu kudadek! Kelele zote kwisha!

Mkiulizwa mna tofauti gani na yule mropokaji Haji Manara, sijui mtajibu nini! Mtaanzia na nyinyi hatua ya awali. Hakuna cha kufika robo fainali, wala kushika nafasi ya 11 kwa ubora.
Aisee ndio umefufukia huku? hali yako ilikuwa mbaya tangu juzi pole sana, wale Vipers walitengeneza kidonda, halafu Kamati ya Maadili TFF jana ikaja kusiginia ndoo ya pilipili hapo!

Endelea kutafuta nafuu mtani..
 
Yn angalau ww umeelezea vzr.
 
Acheni kudanganya umma azam anaanzia hatua ya pili kwasababu ya simba sc kufika robo msimu ulioisha! Hivo azam katembelea nyota ya Simba mnyama mkali!
 
Fact zako sio za kweli zote.
Libya wana nafasi ya kuingiza timu nne je kuna timu ya Libya inayoanzia hatua ya pili shirikisho?
Libya hao hao wapo juu ya Tanzania kwa ranking lakini hawana timu inayoanzia raundi ya pili shirikisho.
Timu za Libya zilipata point kwa kucheza shirikisho lakini wamefuzu klabu bingwa kama ilivyokuwa na Simba lakini mbona hakuna timu iliyochukua nafasi zao kwa kuanza raundi ya pili kama ndio vigezo hivyo?
 
nimeelewa kwa kupitiliza kabisa kabisa yani mpaka nakuona kama wewe ndo Motsepe[emoji123]
 
Ingekuaje kama Azam angemaliza juu Simba kwenye ligi arafu wote wapo shirikisho ?
 
Utaelewa tu kudadek! Kelele zote kwisha!

Mkiulizwa mna tofauti gani na yule mropokaji Haji Manara, sijui mtajibu nini! Mtaanzia na nyinyi hatua ya awali. Hakuna cha kufika robo fainali, wala kushika nafasi ya 11 kwa ubora.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaaa angu, tuliza kwan bas, km Zamalek ina anzia pre, Simba asianze why???

Mbna swali langu liko rahisi sanaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaaa angu, tuliza kwan bas, km Zamalek ina anzia pre, Simba asianze why???

Mbna swali langu liko rahisi sanaaa.
Wanaume mnaitanaje shoga angu hii ni nini tena?
 
Mkuu elewa swali. Kwanini Azam anaanzia hatua ya pili?
Kabebwa na points za simba, points za simba sio za club pekee bali na nchi timu washiriki, ndio maana wakati ule Utopolo alibebwa na Makolo ingawa uto hakuwa bingwa wa ligi
 
Kabebwa na points za simba, points za simba sio za club pekee bali na nchi timu washiriki, ndio maana wakati ule Utopolo alibebwa na Makolo ingawa uto hakuwa bingwa wa ligi
Kama kabebwa na pointi za Simba mbona Al Ahli Tripoli alifika nusu fainali na wako juu ya Tanzania kwa pointi ila timu zake zote zinaanzia steji za awali kabisa?

Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…