denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Aisee ndio umefufukia huku? hali yako ilikuwa mbaya tangu juzi pole sana, wale Vipers walitengeneza kidonda, halafu Kamati ya Maadili TFF jana ikaja kusiginia ndoo ya pilipili hapo!Utaelewa tu kudadek! Kelele zote kwisha!
Mkiulizwa mna tofauti gani na yule mropokaji Haji Manara, sijui mtajibu nini! Mtaanzia na nyinyi hatua ya awali. Hakuna cha kufika robo fainali, wala kushika nafasi ya 11 kwa ubora.
Endelea kutafuta nafuu mtani..