Mjini ujanja gari, nyumba hata kobe anayo..........
Mwe ndio maana vijana wengi wanashindwa kulipa mikopo.
Anavyopenda sifa angekuwa ameshaisambaza kwenye mitandao
Kweli anayo na imeshakamilika... Kwa nini ahamii Hilo mimi sijui ila ipo na imeisha ukiingalia kwa nje..