Namba ya gari poa, lakini hati ya nyumba ingekua poa zaidi !

Namba ya gari poa, lakini hati ya nyumba ingekua poa zaidi !

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
1620375_817256681629481_853011519037547823_n.jpg
 
Akiwa na nyumba bila gari wema asingemuita baby,
 
Jamaa ana nyumba wazo jirani na rafiki yangu flani, sijui kwanini haijawa occupied namuona mlinzi tu pale.
Ni nyumba safi kweli.
 
Jamaa ana nyumba wazo jirani na rafiki yangu flani, sijui kwanini haijawa occupied namuona mlinzi tu pale.
Ni nyumba safi kweli.

Anavyopenda sifa angekuwa ameshaisambaza kwenye mitandao
 
Kweli anayo na imeshakamilika... Kwa nini ahamii Hilo mimi sijui ila ipo na imeisha ukiingalia kwa nje..

Wazo sehemu gani nikaione muda huu, niko magengeni hapa
 
Back
Top Bottom