Habari wakuu, Kuna kitu kimoja ningependa kuwauliza wataalam wa JF ,
Hivi ni huduma Gani ambayo inawezesha ku display jina la biashara Kila unapopiga namba ya sim yako ,
Kuna watu kadhaa nimeona wakinipigia jina linakuna la biashara linakuja automatically kwenye phone app , sasa nauliza ni huduma Gani itaniwezesha na mimi kufanya kitu kama hicho au ni hatua Gani natakiwa nifate
Asanteni