Mzalendowetu
Member
- May 22, 2012
- 87
- 35
Wana JF,
Ningependa huyu Bwana awe MC katika harusi yangu. Mwenye kufahamu namba yake ya simu, au mawasiliano mengine yoyote yatakayofanikisha kumpata, naomba anipatie
Sasa huyo kaomba matusi au namba wewe ndio hamnazo kbs.We mtu anaomba namba unamtusiacheni kudhalilisha fani za watu, hivi kila mtu mropokaji ana sifa na uwezo wa kuwa mc? wewe utakuwa mzaramo au mndengereko si bure.
acheni kudhalilisha fani za watu, hivi kila mtu mropokaji ana sifa na uwezo wa kuwa mc? wewe utakuwa mzaramo au mndengereko si bure.
acheni kudhalilisha fani za watu, hivi kila mtu mropokaji ana sifa na uwezo wa kuwa mc? wewe utakuwa mzaramo au mndengereko si bure.
Mbona Zembwela ni mc toka kitambo.Hata jamaa akiwa mzaramo au mndengereko wewe kipi kinachokuuma.
acheni kudhalilisha fani za watu, hivi kila mtu mropokaji ana sifa na uwezo wa kuwa mc? wewe utakuwa mzaramo au mndengereko si bure.
,wewe ni choko...acheni kudhalilisha fani za watu, hivi kila mtu mropokaji ana sifa na uwezo wa kuwa mc? Wewe utakuwa mzaramo au mndengereko si bure.
TeamZembwela
,wewe ni choko...
Mimi nilikuwa nayo alinipa kipindi hana umaarufu sana 2001, Nilikoma kumpigia mwaka jana! Swali la kwanza: NANI KAKUPA NO.YANGU? Nikamkumbusha! akarudia USIMPE MTU NAMBA YANGU MARA NNE! Nika-DELETE! BAADA YA HAPO!
kwani mtu akiwa na namba yako ina tatizo gani? ni ushamba tu wa kizamani watu wana namba ya obama na kikwete ndio itakuwa ya zembwela? ukiona mtu anaogopa kutoa namba basi huyo anaishi kijanja town.
acheni kudhalilisha fani za watu, hivi kila mtu mropokaji ana sifa na uwezo wa kuwa mc? wewe utakuwa mzaramo au mndengereko si bure.
Umeyaona mapovu yao heee?
Wana JF,
Ningependa huyu Bwana awe MC katika harusi yangu. Mwenye kufahamu namba yake ya simu, au mawasiliano mengine yoyote yatakayofanikisha kumpata, naomba anipatie
0713341108...haya ndugu harusi njema...
0713341108...haya ndugu harusi njema...