Namba ya Mawasiliano ya Simu ya Zembwela

Namba ya Mawasiliano ya Simu ya Zembwela

acheni kudhalilisha fani za watu, hivi kila mtu mropokaji ana sifa na uwezo wa kuwa mc? wewe utakuwa mzaramo au mndengereko si bure.
we ndo hujielewi kbsa.ungejua huyu jamaa ni mc tena mzuri sana hata yasingekutoka hayo yote.poleeeeeeeeeeeee.
 
jaman mbona zembwela n mc ktambo?? unae shangaa we n wa wap kwan???
 
0713341108...haya ndugu harusi njema...
mbona hii namba ya Madam wetu wa Taifa/ Tanzania's Sweetest ama Zembwela anapumzika hapo siku hizi? muwe makini msije mkaingilia privacy za watu. Hawa jamaa ambao si mahandsome ndo huwa wanafaidi sana hawa watoto wazuri asee sijui kwa nn
 
acheni kudhalilisha fani za watu, hivi kila mtu mropokaji ana sifa na uwezo wa kuwa mc? wewe utakuwa mzaramo au mndengereko si bure.
Wewe ndo mropokaji kwanini usiheshimu mawazo ya mwenzako?yy kaona zembwe anafaa kama hujui namba ungekaa kimya
 
Anayemchukia Zembwela anachuki naye tu. Kwanza ni mtu wa kujichanganya na watu sehemu tofauti. Yaani namwonaga mara nyingi ktk zile sehemu ngumu za masela mtu kama huyu anajitahidi kuonana na watu tofauti
 
Back
Top Bottom