we ndo hujielewi kbsa.ungejua huyu jamaa ni mc tena mzuri sana hata yasingekutoka hayo yote.poleeeeeeeeeeeee.acheni kudhalilisha fani za watu, hivi kila mtu mropokaji ana sifa na uwezo wa kuwa mc? wewe utakuwa mzaramo au mndengereko si bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ndo hujielewi kbsa.ungejua huyu jamaa ni mc tena mzuri sana hata yasingekutoka hayo yote.poleeeeeeeeeeeee.acheni kudhalilisha fani za watu, hivi kila mtu mropokaji ana sifa na uwezo wa kuwa mc? wewe utakuwa mzaramo au mndengereko si bure.
ninayo ya mpoki. Nikupe?Wana JF,
Ningependa huyu Bwana awe MC katika harusi yangu. Mwenye kufahamu namba yake ya simu, au mawasiliano mengine yoyote yatakayofanikisha kumpata, naomba anipatie
mbona hii namba ya Madam wetu wa Taifa/ Tanzania's Sweetest ama Zembwela anapumzika hapo siku hizi? muwe makini msije mkaingilia privacy za watu. Hawa jamaa ambao si mahandsome ndo huwa wanafaidi sana hawa watoto wazuri asee sijui kwa nn0713341108...haya ndugu harusi njema...
Wewe ndo mropokaji kwanini usiheshimu mawazo ya mwenzako?yy kaona zembwe anafaa kama hujui namba ungekaa kimyaacheni kudhalilisha fani za watu, hivi kila mtu mropokaji ana sifa na uwezo wa kuwa mc? wewe utakuwa mzaramo au mndengereko si bure.