Namba ya nani unaitafuta bila mafanikio?

Nashida namba ya mimiks na Irene uwoya,na namba ya,make was jiran yangu aliyehamia juzijuz
 
Mwenye namba ya Happyanna Omari uyu dada ana asir ya kishombe shombe kabira lake ni mmang'ati wa idom,,nilikutana nae bagamoyo miaka ya 2013 alikuwa anasoma chuo,,,,,,,

,,,zawadi nono itatolewa kwa mtu atakae nipatia namba yake
 
Mkuu tunasubiri muendelezo wa uzi wako kule wa kupost kila siku wa updates au ndio umeutelekeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…