Mhanga: Ni mapenzi ya mwezi 1, yaani tulienda vizuri da penny, sasa sielewi nini mbaya
imagine last week ilikuwa birthday yake nikamfanyia bash kubwa tu, nikamnunulia na cheni ya dhababu
Money Penny: aisee, dhahabu na hali hii ya uchumi?
Mhanga: mtoto mzuri, mzuri sana, yani tulivyozama kwenye tendo ni kama sikutoka nilinasia ndani
Money Penny: Eboooooooooooooo!
Mhanga: sasa nashangaa leo nampigia simu hapatikani, jana ivyo ivyo, leo pia, nifanyaje, nimeenda kwao amehama
Money Penny: nilijua tu, hii hALI YA UCHUMI buana sio Kenya tu
haya, wenye namba ya simu ya mrembo anaomba mumsaidie MAANA YEYE BADO AMEZAMA NDANI...