Namba ya simu ya prof. Mlacha please!

Namba ya simu ya prof. Mlacha please!

reginahope

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
163
Reaction score
30
habarin wanajamvi. naombeni mnisaidie namba ya simu ya prof mlacha wa udom.asanten sn
 
Unataka ya nn?Au ndo unataka kujitongozesha maana yule mpare kwa totoz hajambo!!!
 
Mlacha nasikia yeye ndio mkuu wa chuo kwenye maamuzi..
 
JF is everything yaani humu hukosi kitu kila jambo linasuluhu
 
Naombeni namba ya waziri mkuu mizengo pinda na Mh.Rais baba Rizi1,nataka kuwapa dondoo za waliokosa mkopo tiyari nsha andika barua na uchafu wote unaotendwa pale bodi ya miko,hawa ndo wenye nchi kuwapata tabu sana.msaada wanajamvi ni muhmu sana
 
Wadau yule Prof. wa Kiswahili aliyekuwa mtawala na msimamizi wa fedha UDOM yuko wapi? Kaacha dharau?
 
Back
Top Bottom