Namba ya viatu inaweza kuonyesha umri wako

Namba ya viatu inaweza kuonyesha umri wako

mhm! hii ni kali yake jamani sijui ngoja nijaribu hapa hapa kabla sijatoka
484654_340945462686822_1133336745_n.jpg
 
Hata kama si mtaalamu wa namba za viatu, ila kuna mifumo tofauti ya namba. Kwa mfano, mfumo wa Kimarekani unaohusisha namba kubwa (kama 33,... 36...43...), na mfumo wa mashariki (wengine wanasema Kichina) unaohusisha namba ndogo, (kwa mfano 5,....6.....8..). Sasa mfumo upi ni sahihi? Pili, kwa nini utumie njia ndefu na yenye gharama kubwa ili kupata jibu rahisi? Hususani kwa kuwa unajua mwaka wa kuzaliwa.
 
Sasa kama unajua mwaka uliozaliwa kuna haja ya kuumiza kichwa na mahesabu yasiyo na maana?!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom