Hata kama si mtaalamu wa namba za viatu, ila kuna mifumo tofauti ya namba. Kwa mfano, mfumo wa Kimarekani unaohusisha namba kubwa (kama 33,... 36...43...), na mfumo wa mashariki (wengine wanasema Kichina) unaohusisha namba ndogo, (kwa mfano 5,....6.....8..). Sasa mfumo upi ni sahihi? Pili, kwa nini utumie njia ndefu na yenye gharama kubwa ili kupata jibu rahisi? Hususani kwa kuwa unajua mwaka wa kuzaliwa.