Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Napendekeza ile menu yake iwe inaboreshwa kutokana na milipuko ili kurahisisha/kutimiza kusudio lake
Mf: kipindi cha janga la korona; kuwe na namba 1> Ukitaka maelezo yoyote kuhusu korona bonyeza moja
na vivyo hivyo kipindi hiki chenye hatari ya Ebola lakini muhimu zaidi IPOKELEWE bila visingizio.
Mbona NAMBA ya Zanzibar ukipiga inapokelewa muda wote na hata kipindi cha janga la korona ilikuwa msaada sana